PreGE2025 Morogoro: Mkutano wa No Reforms No Election watawaliwa na Mabango ya "Free Lissu" Tone Tone yavunja rekodi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hii ndio Taarifa mpya ya Jioni sana iliyotufikia.

Mada ni ile ile wala hatuna haja ya kuirudia, Wananchi wote wamekubaliana na Hoja za Chadema kasoro Abood tu

Hali ndio kama unavyoona kwenye eneo la Kiwanja cha Ndege, Morogoro Mjini



Tone Tone nayo Yatikisa

 
Hii kampeni hii, wamejua namna ya kuwafikia jamii ambazo zilikuwa hazina elim hii

Cdm kwa wamepenya aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…