ccm imegawanyika zipo kambi 3
Kambi ya kwanza ni ya ibirisi wezi akina Amos makala Bulembo makonda wasira chawaccm na kambi ya pili ni kambi ya kikwete yupo January makamba , Nape, na kikundi cha uchakachuaji hao hawamtaki Nchimbi awe makamu wa Rais kwa hofu ya kufukua makaburi
Kambi ya Tatu ni ya magufuli ni kambi yenye nguvu sana Huko yupo majaliwa bashiru, Dr mpango, Doto biteko, na wabunge wengi sana kila kambi ina hesabu zake za kumwengua mama iddy Amin kwenye mbio za kuwania Urais , ccm ndani kunawaka moto mkali sana