Au Hatuchezi....
Au Hatuchezi....
Sio rahisi; kiwazungusha watu kwa ma lorry from mkutano hu kwenda ule ni ngumu kidogo. Wanatoaga watu kutoka wilaya moja kwenda nyingine. Chadema, nyomi sio tu kwamba inakuja yenyewe, lakini na pesa wanachanga yaaniHivi CCM wanaweza kufanya mikutano minne kwa siku ndani ya Mkoa mmoja? I 🤣
Matendo yanayo fanywa na ccm kwasasa ni kama wanasema hivi, "Hakuna Mungu, and if he is then we don't care about Him"Ebo! Imekuwa mpango wa mungu tena 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa tunakoelekea ni kubaya nchi itakuwa na afghanistan ai palestina.
The moment a political party blivs god is with them aisee kifuatacho ni watu kuone wengine ni infidels
Aminaccm imegawanyika zipo kambi 3
Kambi ya kwanza ni ya ibirisi wezi akina Amos makala Bulembo makonda wasira chawaccm na kambi ya pili ni kambi ya kikwete yupo January makamba , Nape, na kikundi cha uchakachuaji hao hawamtaki Nchimbi awe makamu wa Rais kwa hofu ya kufukua makaburi
Kambi ya Tatu ni ya magufuli ni kambi yenye nguvu sana Huko yupo majaliwa bashiru, Dr mpango, Doto biteko, na wabunge wengi sana kila kambi ina hesabu zake za kumwengua mama iddy Amin kwenye mbio za kuwania Urais , ccm ndani kunawaka moto mkali sana
Wekeni utaratibu iwe inatangazwa pale pale kiasi kilicho patikanaHii ndio Taarifa mpya ya Jioni sana iliyotufikia.
Mada ni ile ile wala hatuna haja ya kuirudia, Wananchi wote wamekubaliana na Hoja za Chadema kasoro Abood tu
Hali ndio kama unavyoona kwenye eneo la Kiwanja cha Ndege, Morogoro Mjini
View attachment 3358353View attachment 3358354View attachment 3358355View attachment 3358356
Tone Tone nayo Yatikisa
View attachment 3358357
Dada just ignore meSasa kinachokuliza nini?
Ulaji wa watu uleWekeni utaratibu iwe inatangazwa pale pale kiasi kilicho patikana
Hapo itv haionyeshi mikutano Yao chadema imetisha Sana. Huku itv wakobize na chaumaHii kampeni hii, wamejua namna ya kuwafikia jamii ambazo zilikuwa hazina elim hii
Cdm kwa wamepenya aisee
Jana kuna Bibi kizee kachangia sh 200.Sio rahisi; kiwazungusha watu kwa ma lorry from mkutano hu kwenda ule ni ngumu kidogo. Wanatoaga watu kutoka wilaya moja kwenda nyingine. Chadema, nyomi sio tu kwamba inakuja yenyewe, lakini na pesa wanachanga yaani
Acha wale kuna shida? au ni wivu wa unakusumbua? tafuta Bwana akupunguzie huo wivuUlaji wa watu ule
HakikaMUNGU anajivunia Sana CHADEMA hiki chama ni mipango yake mwenyewe
Kwani Lucas Mwashambwa hana kazi??HUyu sio Lucas ndugu ana kazi zake halali zinazomwingizia kipato
Na hii pesa hata kama ndogo ina baraka ndio maana inafanya maajabuBora hizi za kuchangiwa na wananchi. Maana ni pesa safi, isiyo na mawaa
Lakini za kule CHAUMA, wajiandae kwa kuwa zisipoleta matunda za aliyewapa, wajiandae kulawitiwa na kusagwa na CCM na mabasha wao!
Ni kweli nikifikiria hizi katafunua....sio kawaidaMUNGU anajivunia Sana CHADEMA hiki chama ni mipango yake mwenyewe