Hii kampeni imeshakubaliwa na wananchi ila wanajifanya hawasikii na hawaoni ila watasikia na kuona tu.Hii ndio Taarifa mpya ya Jioni sana iliyotufikia.
Mada ni ile ile wala hatuna haja ya kuirudia, Wananchi wote wamekubaliana na Hoja za Chadema kasoro Abood tu
Hali ndio kama unavyoona kwenye eneo la Kiwanja cha Ndege, Morogoro Mjini
View attachment 3358353View attachment 3358354View attachment 3358355View attachment 3358356
Tone Tone nayo Yatikisa
View attachment 3358357
Basi uwe na usiku mwemaSina kabila mjomba, nauliza tu nipate ufahamu juu ya hiyo imani mkuu.
100% truly.Hayo mabango nahisi kwenye mkutano unaofuata samia atatuma polisi anaogopa sana hayo mambo
Mimi najaribu tu kuwaza kimoyo moyo.Hiki ndio chama pekee kinachoweza kujaza wananchi kibao kwa ridhaa yao wenyewe.
'Actually,' katika hali ya kawaida, Makala sasa ni mtu wa kumwonea huruma sana!Wenye visukari hawawezi huu mtiti
ccm imegawanyika zipo kambi 3Mimi najaribu tu kuwaza kimoyo moyo.
Hebu jiweke katika nafasi ya Samia Suluhu Hassan, anavyo yashuhudia haya ya wananchi yakiendelea.
Hivi kweli bado anayo matumaini ya kuwatumia jeshi lake maalum (Red Army), linaloongozwa na ACP Awadh kumwezesha kubaki madarakani?
Yupo tayari kumwaga damu ya waTanzania hawa, ili mradi aendelee kubaki madarakani?
ibirisi wa ccm wanaogopa kumwachia Lisu harakaHii kampeni imeshakubaliwa na wananchi ila wanajifanya hawasikii na hawaoni ila watasikia na kuona tu.
Haa Haa Haa HaaMuungano ufe Tanganyika idai uhuru wake kabla mkoloni kaburu mama iddy Amin Dada hajawamaliza watanganyika kwa kafara kupitia utekaji wa ibirisi Polisiccm
Hili nimelisikia mwanzo toka kwako; ingawa nami nilikuwa sina shaka juu ya kugawanyika ndani ya CCM.ccm imegawanyika zipo kambi 3
Kambi ya kwanza ni ya ibirisi wezi akina Amos makala Bulembo makonda wasira chawaccm na kambi ya pili ni kambi ya kikwete yupo January makamba , Nape, na kikundi cha uchakachuaji hao hawamtaki Nchimbi awe makamu wa Rais kwa hofu ya kufukua makaburi
Kambi ya Tatu ni ya magufuli ni kambi yenye nguvu sana Huko yupo majaliwa bashiru, Dr mpango, Doto biteko, na wabunge wengi sana kila kambi ina hesabu zake za kumwengua mama iddy Amin kwenye mbio za kuwania Urais , ccm ndani kunawaka moto mkali sana
Bilion 15 Amos makala na chawaccm walizokwapua Hazina zimekwisha kwa kugawana kienyeji na zingine kugawana na mbowe ununuzi wa G55 kuwasokomeza Chaumaccm , kwa njia haramu za kishetaniNaona gari la No reforms No Election limewaka watu wamesanuka.
Kikwete yupo kote kote anapenya sana ingawa Mzimu wa magufuli umewakaba kona zote laana ya utekaji damu za walikufa kwa Amri za ibirisi wa kambi yake zinawatafuna sana, kwa sasa utabiri wa marehemu shekhe Yahya unaenda kutimia na ndipo mama iddy Amin mama ataenguliwaHili nimelisikia mwanzo toka kwako; ingawa nami nilikuwa sina shaka juu ya kugawanyika ndani ya CCM.
Kikwete na sehemu kubwa ya hao niliwabakisha kwenye kundi la GENGE, linalomwendesha Samia; likiwa na lengo la kumbakisha Samia madarakani kwa njia yoyote ile. Bado nasita sana kumwondoa Kikwete kwenye GENGE hilo.
Kundi la pili ni lile ambalo ni "mateka" ndani ya chama chao, kundi ambalo limenyamazishwa kwa kulinda maslahi yao binafsi. Wengi ndani ya kundi hilo ni hao uliowataja, akina Majaliwa, Nchimbi, Lukuvi, Kalamaganda Kabuti na wengi wengine wa aina hiyo.
Hilo kundi la tatu la "Sukuma Gang" bado silipi umuhimu wowote katika muundo uliopo sasa. Lakini naweza nikawa nimepitiwa na hali ilivyo saiti kwenyewe sasa hivi.
Kwahiyo kuna Jeshi linaongozwa na Shemeji yake Awadh Haji! hii sikuijuaMimi najaribu tu kuwaza kimoyo moyo.
Hebu jiweke katika nafasi ya Samia Suluhu Hassan, anavyo yashuhudia haya ya wananchi yakiendelea.
Hivi kweli bado anayo matumaini ya kuwatumia jeshi lake maalum (Red Army), linaloongozwa na ACP Awadh kumwezesha kubaki madarakani?
Yupo tayari kumwaga damu ya waTanzania hawa, ili mradi aendelee kubaki madarakani?
Watawagawaje wananchi wakati wanawasombelea toka sehem moja kwenda nyingine.Hivi CCM wanaweza kufanya mikutano minne kwa siku ndani ya Mkoa mmoja? I 🤣