Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
-
- #41
Aiseeeeeeccm imegawanyika zipo kambi 3
Kambi ya kwanza ni ya ibirisi wezi akina Amos makala Bulembo makonda wasira chawaccm na kambi ya pili ni kambi ya kikwete yupo January makamba , Nape, na kikundi cha uchakachuaji hao hawamtaki Nchimbi awe makamu wa Rais kwa hofu ya kufukua makaburi
Kambi ya Tatu ni ya magufuli ni kambi yenye nguvu sana Huko yupo majaliwa bashiru, Dr mpango, Doto biteko, na wabunge wengi sana kila kambi ina hesabu zake za kumwengua mama iddy Amin kwenye mbio za kuwania Urais , ccm ndani kunawaka moto mkali sana
Anza kuwatazama kwa karibu zaidi hao wenye vikofia (berets) vyekundu.Kwahiyo kuna Jeshi linaongozwa na Shemeji yake Awadh Haji! hii sikuijua
Hoja hiyo inafikirisha kidogo.Aiseeeeee
DuuuuuAnza kuwatazama kwa karibu zaidi hao wenye vikofia (berets) vyekundu.
Hawa wapo pembeni ya muundo wa polisi wa kawaida. Fungua macho!
Watu wa Mungu hawaHii ndio Taarifa mpya ya Jioni sana iliyotufikia.
Mada ni ile ile wala hatuna haja ya kuirudia, Wananchi wote wamekubaliana na Hoja za Chadema kasoro Abood tu
Hali ndio kama unavyoona kwenye eneo la Kiwanja cha Ndege, Morogoro Mjini
View attachment 3358353View attachment 3358354View attachment 3358355View attachment 3358356
Tone Tone nayo Yatikisa
View attachment 3358357
HeheheWenye visukari hawawezi huu mtiti
HUyu sio Lucas ndugu ana kazi zake halali zinazomwingizia kipatoErythrocyte huna cheo chochote cdm??
CPA Makala alijaribu hakuwezaHivi CCM wanaweza kufanya mikutano minne kwa siku ndani ya Mkoa mmoja? I 🤣
Kabisa mkuuSafi sana
Hata mimiNaipenda sana chadema
Lack of leadership and focusHii ndio Taarifa mpya ya Jioni sana iliyotufikia.
Mada ni ile ile wala hatuna haja ya kuirudia, Wananchi wote wamekubaliana na Hoja za Chadema kasoro Abood tu
Hali ndio kama unavyoona kwenye eneo la Kiwanja cha Ndege, Morogoro Mjini
View attachment 3358353View attachment 3358354View attachment 3358355View attachment 3358356
Tone Tone nayo Yatikisa
View attachment 3358357
Chagua weweLack of leadership and focus
Kwahiyo ni free Lissu? Tone Kwa tone? Or no erection?
You guys just killed chademaChagua wewe
Acha wivuLack of leadership and focus
Kwahiyo ni free Lissu? Tone Kwa tone? Or no erection?
Bora hizi za kuchangiwa na wananchi. Maana ni pesa safi, isiyo na mawaaHii ndio Taarifa mpya ya Jioni sana iliyotufikia.
Mada ni ile ile wala hatuna haja ya kuirudia, Wananchi wote wamekubaliana na Hoja za Chadema kasoro Abood tu
Hali ndio kama unavyoona kwenye eneo la Kiwanja cha Ndege, Morogoro Mjini
View attachment 3358353View attachment 3358354View attachment 3358355View attachment 3358356
Tone Tone nayo Yatikisa
View attachment 3358357
Aiseee 🤣You guys just killed chadema
Mihemuko na nyege za kijinga
Mwenyekiti katangaza uasi - ndani
Makamu - anarap bila vina na mizani
Katibu (mamluki) kawamaliza na kuwauza - hamjui ni pandikizi
Lema - anawahi cash Nairobi kisha Kwa family Canada
Golugwa - misfit
What a waste
Sasa kinachokuliza nini?You guys just killed chadema
Mihemuko na nyege za kijinga
Mwenyekiti katangaza uasi - ndani
Makamu - anarap bila vina na mizani
Katibu (mamluki) kawamaliza na kuwauza - hamjui ni pandikizi
Lema - anawahi cash Nairobi kisha Kwa family Canada
Golugwa - misfit
What a waste
Ebo! Imekuwa mpango wa mungu tena 🤣🤣🤣🤣🤣Chadema ni Mpango wa Mungu Mwenyewe
Zaidi ya uonevu huu wa sasa?Ebo! Imekuwa mpango wa mungu tena 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa tunakoelekea ni kubaya nchi itakuwa na afghanistan ai palestina.
The moment a political party blivs god is with them aisee kifuatacho ni watu kuone wengine ni infidels