PreGE2025 Morogoro: Mkutano wa No Reforms No Election watawaliwa na Mabango ya "Free Lissu" Tone Tone yavunja rekodi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi CCM wanaweza kufanya mikutano minne kwa siku ndani ya Mkoa mmoja? I 🤣
Sio rahisi; kiwazungusha watu kwa ma lorry from mkutano hu kwenda ule ni ngumu kidogo. Wanatoaga watu kutoka wilaya moja kwenda nyingine. Chadema, nyomi sio tu kwamba inakuja yenyewe, lakini na pesa wanachanga yaani
 
Ebo! Imekuwa mpango wa mungu tena 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa tunakoelekea ni kubaya nchi itakuwa na afghanistan ai palestina.
The moment a political party blivs god is with them aisee kifuatacho ni watu kuone wengine ni infidels
Matendo yanayo fanywa na ccm kwasasa ni kama wanasema hivi, "Hakuna Mungu, and if he is then we don't care about Him"
Ukweli kwasasa ccm wamevuka red line, hawaogopi chochote, hata Mungu hawamuogopi. Imagine mtu anae kemea uovu ndio eti anatafsirika kama mchochezi, just imagine
 
Amina
 
Safi sana, hakika somo la no reform no election linazidi kuchanja mbuga na kusambaa kama upepo Tanzania nzima. Wananchi wameikubali na kuielewa CHADEMA.
 
Sasa kinachokuliza nini?
Dada just ignore me

I feel sane - ten years ago chadema was a serious political party that double rule rhis country

It has turned into chakandumuz where all fanatics and vuruguvurugu guys meet
 
Sio rahisi; kiwazungusha watu kwa ma lorry from mkutano hu kwenda ule ni ngumu kidogo. Wanatoaga watu kutoka wilaya moja kwenda nyingine. Chadema, nyomi sio tu kwamba inakuja yenyewe, lakini na pesa wanachanga yaani
Jana kuna Bibi kizee kachangia sh 200.
 
Bora hizi za kuchangiwa na wananchi. Maana ni pesa safi, isiyo na mawaa

Lakini za kule CHAUMA, wajiandae kwa kuwa zisipoleta matunda za aliyewapa, wajiandae kulawitiwa na kusagwa na CCM na mabasha wao!
Na hii pesa hata kama ndogo ina baraka ndio maana inafanya maajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…