Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Ndio amfungie ndani masaa yote hayo?Yuko sawa Kwa nini ameambiwa asepe na hataki?
Nimemwachia Kodi ya miezi 3 hajanilipa na bill ya maji ya miezi 6 nimelipia mwenyewe. Ili mradi tu aniachie gofu na pagale langu nifugie hata njiwa itanilipa.Wakuu, huu ni Uungwana kweli?
Huko Marogoro mwenye nyumba kamfungia ndani saa 27 mpangaji kisa amekiuka notisi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mmiliki wa nyumba Plot namba 149 BLOCK ‘A’ Kihonda Kilimanjaro, Dk. Lusako Mwakiruma ilioyopo Mtaa wa Kilimanjaro Manispaa ya Morogoro, amemfungia ndani mpangaji wake kwa saa 27 kisha kumtolea vitu vyake nje, kwa madai kuwa mpangaji huyo, Paschal Paulo alishindwa kupokea notisi ya kumtaka ahame kwenye nyumba hiyo ndani ya mwezi mmoja.
Ubaya ubwela.Wakuu, huu ni Uungwana kweli?

Umesoma wapi kuwa mkataba umeisha?Kweli mpangaji si muungwana,muda wake umeisha hama hutaki kuhama unataka nini matokeo yake ndo hayo.
Ana kesi ya kujibuNdio amfungie ndani masaa yote hayo?
Je angepata tatizo la kiafya humo angesaidika vipi?
Na mwenye nyumba angepata tatizo la kiafya na anategemea hela ya Kodi akapate matibabu ingekuwaje?Ndio amfungie ndani masaa yote hayo?
Je angepata tatizo la kiafya humo angesaidika vipi?
We samia tumesikia uko ICU, mbona tena unachati jamiiforums??Angekuwa Salum au Asha kafanya hivyo, tungeipata Waislam wote humu JF na Tanzania nzima.
Lakini kwa kuwa kafanya kondoo mwenzao wa kilimanjaro, wote kimyaa.
Hiyo dini itakufanya chizi. Kwa siku usipotukana mkristo au asiye wa dini yako hupati amani. Kwa hiyo kila anayekosea makosa yake hupimwa kwa dini yake. Nenda magereza kahesabu waliofungwa na dini zao halafu ulete huo ushabiki wako humu. Wewe huwezi kumpangisha asiye wa dini yako.Angekuwa Salum au Asha kafanya hivyo, tungeipata Waislam wote humu JF na Tanzania nzima.
Lakini kwa kuwa kafanya kondoo mwenzao wa kilimanjaro, wote kimyaa.