Morogoro: Mpangaji afungiwa ndani Saa 27 na Mmiliki wa nyumba kwa madai ya kukiuka Notisi ya kuhama

Morogoro: Mpangaji afungiwa ndani Saa 27 na Mmiliki wa nyumba kwa madai ya kukiuka Notisi ya kuhama

Hiyo dini itakufanya chizi. Kwa siku usipotukana mkristo au asiye wa dini yako hupati amani. Kwa hiyo kila anayekosea makosa yake hupimwa kwa dini yake. Nenda magereza kahesabu waliofungwa na dini zao halafu ulete huo ushabiki wako humu. Wewe huwezi kumpangisha asiye wa dini yako.
Puuzi moja hilo usijisumbue hata kujibizana nalo
 
Serikali ilitoa amri watu walipe Kodi au pango ya nyumba kila mwezi siyo miezi mingi kwa mkupuo.
Ilikuwa enzi za Dk.Mwakyembe waziri wizara fulani.
Nafikiri kipindi cha Magufuli.
Bongo sekta ya upangishaji nyumba imekaa kiduwanzi sana, mtu anataka malipo ya miezi sita wakati wafanyakazi karibia wote wanalipwa kwa mwezi, wiki au siku! Ni uhovyo tu ila ndio sekta huria hii kila mtu anafanya anavyoona inamfaa na mali yake.
 
Bongo sekta ya upangishaji nyumba imekaa kiduwanzi sana, mtu anataka malipo ya miezi sita wakati wafanyakazi karibia wote wanalipwa kwa mwezi, wiki au siku! Ni uhovyo tu ila ndio sekta huria hii kila mtu anafanya anavyoona inamfaa na mali yake.
Kajenge Yako,ujue uchungu wa ujenzi wa nyumba na dhamani ya kiwanja
 
Kuna mfia dini mmoja ndgu yake FaizaFoxy alikataa kuuza kiwanja chake kilicho karibu na barabara, sio kua kwasababu hana shida na pesa ila anaetaka kununua ni mkristo na yeye hapokei pesa toka kwa mtu wa dini tofauti yake.


Ungemuuliza, chumvi, unga, Michele , ngano, Nyama, maharagwe, Mafuta, dagaa, samaki vyakula vyote vimetoka Kwa wa dini yake?

Ungemuuliza akiugua hospital anaenda za dini yake tu na kutibiwa na wa dini yake tu, dawa zote anazotumia zimetengenezwa na wa dini yake tu.

Ungongeza Nguo anazo vaa, kulalia, pamba imelimwa na kutengenezwa na wa dini yake tu ?

Watoto wake kama wako shule wanafundishwa wa dini yake tu.

Ungemuuliza mbona hiyo Allah anaruhusu mvua kunyesha na Kwasio wa dini yake pia?

Dini ikizidi ushabiki ni shida, watu wanakuwa mbumbu kabisa.
 
Kiustaarabu, mwenye nyumba akikwambia hama kwenye nyumba yake, basi mdai kodi ya miezi iliyobaki, kama kodi imeisha basi sepa tu, usitake sana mambo ya notice.

Ila kisheria mwenye nyumba ana makosa
Ni kweli mwenye nyumba ana makosa kwani Hakuna mtu au chombo mwenye idhini ya kumuweka mtu kizuizini bali ni vyombo vya Dola tena baada ya kufuata na kuzingatia Taratibu zilizowekwa Kisheria.
Ila kuna baadhi ya Wapangaji ni Pasua kichwa. Wapo waokuwa ni wasumbufu, wajeuri, wanafanya uharibifu wa makusudi na wanatanguliza ubabe kwenye nyumba za watu.
 
Wakuu, huu ni Uungwana kweli?

Huko Marogoro mwenye nyumba kamfungia ndani saa 27 mpangaji kisa amekiuka notisi

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mmiliki wa nyumba Plot namba 149 BLOCK ‘A’ Kihonda Kilimanjaro, Dk. Lusako Mwakiruma ilioyopo Mtaa wa Kilimanjaro Manispaa ya Morogoro, amemfungia ndani mpangaji wake kwa saa 27 kisha kumtolea vitu vyake nje, kwa madai kuwa mpangaji huyo, Paschal Paulo alishindwa kupokea notisi ya kumtaka ahame kwenye nyumba hiyo ndani ya mwezi mmoja.
Ni jambo jema lakuigwa wapangaji wengine ni wakorofi.
 
Back
Top Bottom