Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Waheshimiwa wapo wengi, wabunge, wadiwani, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya nk
 
Uhuru wako ukiutumia vibaya ujue unajigharim mwenyewe.

Nani alikupa Uhuru wa kutukana? Hata Mwenyezi Mungu mwenyewe hakuruhusu kila kitu ujifanyie unavyotaka bana.

Hakuna Uhuru wa kutukana,kukejeri,na kutumia lugha ya maudhi.
Binamu una akili sana, siku zote uhuru bila adabu ni wendawazimu
 
Hana akili wakati wa tension kwa taifa mnaleta upuuzi
 
Hii nchi kwa sasa tulipofika inatisha....ukiwaudhi wenye nchi yao unaenda jela iko hivyo
 
Ukitaka uhuru wa kuongea, ongea vitu vyenye msingi, vya kujenga na kushauri pasipo matusi nafikiri ukifanya hvyo unaweza usiwe na matatzo na upande wowot ila ukitoa matusi kama naye wajinga wenzake ndio wataropoka kudai uhuru
Witty comment.. Watanzania wanataka uhuru wa kutukana hovyo serikali bila hoja zenye mashiko, wacha waisome namba... Not to that extent
 
"AMEONGEA LILILOPO NA NI WIMBO WA WATANZANIA WOTE"
SIONI KOSA LAKE,LAKINI KATIKA NCHI ONEVU KAMA HII ATAPATA TABU"
SIONI KOSA LAKE
SIONI KOSA LAKE
SIONI KOSA LAKE
•AMEIMBA KILIO KILICHOPO MITAANI
Kilio cha nani? Wanafiki wakubwa nyie ndo mkasaidie polisi kunyea debe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…