Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Ndio ringtone yangu. Kawimbo katamuu
 
Amemuimba nani?
Kuna mtu anaitwa Bashite?
 
hata kama watamfunga lakini iyo kitu ya Ney imetulia vibaya sana.
 
naishi Tanzania, ulaya sijawai fika ila america nimefika, watanzania tuna ushabiki Wa kinafiki sana Mkuu. ndio maana Mh anasema mambo ya umbea kwa sababu hayajengi nchi na hayana faida kwa maslai ya nchi kiujumla wake. ushabiki ushabiki sio mzuri
Fungua akili yako ni dhahiri hata m/mkoa alipoondolewa kwenye kushika usukani wa udhibiti wa dawa za kulevya. Huu unaouita udaku ulichangia.

Hupaswi kupuuza na kuzibeza sauti hizi ni udaku??

Wala wewe usingekuwa humu, kama humu ni udaku. Na bila kuficha isije kuwa unapata faida kubwa humu kwa michango ya watu yenye akili!!
ila tu kwa kinachokukera ndo ukakiita udaku
 
Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.

Hata Nape alikuaga upande huu huu wa kuwaombea watu washughulikiwe, kaonyeshwa bastola tu! Hii...! Utakuwa upande wa kushughulikiwa siku moja tuone utajikimu vipi...!!!
 
Song halimtaji mtuu moja kwa moja, hivyo akiwa na utetezi mzuri hana kesi ya kujibu, nadhan hata huyo bashite aliyetajwa hatujui pengine bashite ashtaki kama yupooo
 
kwani kuna mtu katajwa kwenye wimbo? basi dauuudiii bashiiiiiite ajitokeze aseme ametajwa au neno mheshimiwa?
 

Nay amepata umaarufu kabla ya wimbo huu....!! Nay anawakilisha yaliyopo mitaani ... hip hop ndio maana yake, kwa mwenye busara anajua Nay anatoa ujumbe tu ila lipo kundi kubwa kuliko Nay lililo na ufikiri huo.... wasanii wanawakilisha jamii ... kiongozi anatakiwa aombe hekima ya kutambua jamii inamchukuliaje moja wapo ni kusikia ujumbe wa wasanii ... ametajwa Bashite km serikali inamtambua bashite ni nani basi Nay hana kosa!!!
 
Mi siwajui waheshimiwa wa namna hiyo. Sasa amekamatwa means kaongea ukweli ama?
Na haja mtajaa mtuu...!! Mhe amesema hapangiwii nani akae wapi...muda gani n kwa nini afuu anataka apangie watuu maisha...waandishi nin cha kupost...wasaniii nini cha kuimba...!! Bado kutupangia nini cha kulaa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…