Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amemtukana nani?Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Amemuimba nani?Mambo mengine kujitakia tu we msanii mkongwe kabisa unawezaje kuimba wimbo wa kipuuzi namna ile?
Hivi kweli hatuna mambo ya mazuri ya kijamii au kiuchumi ya kuimba zaidi ya huu upupu alioimba?
Anatafuta kiki au?
Ili iweje?
Anatumwa?
Au anatumika?
Kwa faida ya nani?
Kwa maslahi yepi ?
Ili apate nini?
Not to that extent!!!!!!!!!
Fungua akili yako ni dhahiri hata m/mkoa alipoondolewa kwenye kushika usukani wa udhibiti wa dawa za kulevya. Huu unaouita udaku ulichangia.naishi Tanzania, ulaya sijawai fika ila america nimefika, watanzania tuna ushabiki Wa kinafiki sana Mkuu. ndio maana Mh anasema mambo ya umbea kwa sababu hayajengi nchi na hayana faida kwa maslai ya nchi kiujumla wake. ushabiki ushabiki sio mzuri
Hiyo kesi nyepesi sana kwa sababu hajataja jina la mtu mwingine zaidi ya Bashite. Na itakuwa vizuri sana kama Bashite atajitokeza awe shahidi upande wa walalamikaji ili tumjue ni nani!hata kama watamfunga lakini iyo kitu ya Ney imetulia vibaya sana.
Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
- Nakubaliana na wewe kwa kiasi, kwamba issue nyingine ni za kutoa onyo, lakini si kwa huyo Ney maana amesha onywa sana
- Na anafanya makusudi ili kupata sifa/umaarufu, kwanza kupitia wimbo wenyewe, mbili; anatalajia kupata sifa kupitia kuandamwa andamwa na polisi kama vile wanasiasa (Tindu Lisu)
- Hivyo basi mamlaka zinazo husika zihakikishe anapata funzo takatifu kama yule mbunge wa Arusha
Sitaki povu, soma uende zako.
- Mamlaka husika (BASATA, Polisi na nk) waki tuliza akili mbona wanamtia hatiani
Na imeshasambaa wanafanya kazi bure!hata kama watamfunga lakini iyo kitu ya Ney imetulia vibaya sana.
Waheshimiwa wapo kibaokwani kuna mtu katajwa kwenye wimbo? basi dauuudiii bashiiiiiite ajitokeze aseme ametajwa au neno mheshimiwa?
Wasio na marinda...Ambao hawashauriki...Wenye vyeti fekii...Wakutafuta kikiiWaheshimiwa wapo kibao
tutajie mstari alotukanaSafi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Mi siwajui waheshimiwa wa namna hiyo. Sasa amekamatwa means kaongea ukweli ama?Wasio na marinda...Ambao hawashauriki...Wenye vyeti fekii...Wakutafuta kikii
Na haja mtajaa mtuu...!! Mhe amesema hapangiwii nani akae wapi...muda gani n kwa nini afuu anataka apangie watuu maisha...waandishi nin cha kupost...wasaniii nini cha kuimba...!! Bado kutupangia nini cha kulaa tuuMi siwajui waheshimiwa wa namna hiyo. Sasa amekamatwa means kaongea ukweli ama?
tutajie mstari alotukana