Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Wanamchelewesha kujenga kanisa huyu kijana jamani . Wamuachie ajenge kanisa kwanza halafu ndio wamkamate [emoji854][emoji854][emoji854]
 
Acheni kushabikia vitu visivyo na msingi alichokitaka si kiki sasa kashaipata mwacheni akapumzike kwa muda usicheze na walioshika makali utakatwaa.
 
Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Kwani kamtukana nani? Hajamtaja mtu kwenye wimbo wake kasoro jina Jakaya tu. Hata huyu Jakaya haijulikani ni Jakaya yupi!! Sijui tusubiri akipelekwa mahakamani shitaka atakalosomewa.
 
Sisi tutaupiga tu mageton hakuna namna!TE="Usher-smith, post: 20352231, member: 299705"]Msanii wa kizazi kipya Emanuel Elibarik alimaarufu kama NEY wa mitego amekamatwa asubuhi hii huko morogoro

View attachment 486993

Sehemu ya wimbo wa Ney wa Mitego:
Hivi Uhuru wa Kuongea bado upo? Siamini nchi inaendeshwa kwa kiki!
Nasikia kuna viongozi wamefoji vyeti? Wapooo! Mheshimiwa hivi unamjua Bashite kutoka Kolomije? We si Dokta wa kutumbua majipu?

We mtu gani sasa? Hutaki kushauriwa, hutaki kukosolewa? ...Naona kichaa kapewa rungu! Hahahaha.

========

Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa linamshikilia msanii Ney wa Mitego, kwa tuhuma za kutoa wimbo unaokashifu Serikali iliyopo madarakani.[/QUOTE]
Susi
 
Ney nyimbo yake alitakiwa kuiandika kisanaaaa, kifasihi. Ila alifanya harak haraka ili kurudi kwenye peak yake.

Hebu check demo ya Jamaa huyu.
 

Attachments

Huyo muige wewe, Ney yeye ana style na mtazamo wake. Kama wewe huna wa kwake ni ruksa kuiga kwake.
 
Ushauri wng kwa Rais na washauri wake wasiosikilizwa, kwa mwendo huu kabla ya kuanza kutekeleza sera yao ya kujenga viwonder, ni bora kwanza wakaongeza magereza. Maana wazungusha mikono na wabunge wao, na wasanii wameingia humo kweli hawatoshi
 
Za asubuhi wakuu. Leo asubuhi majira ya saa 1:29 nikisikiliza BBC world service, watangazaji walianza kuuelezea mziki wa bongo fleva. Then wakasema a local rapa called emmanuel elibariki, famously known as ney wa mitego has just released his new song "wapo" which means "they exist or they are there" halafu wakaupiga mwote mwanawani. Daaah.

Waliendelea kujadili kuwa the song has brought his problem because he has been arrested. walidai the man is a protester and he has addressed what is actually happening in dar-es-salaam.

My take, tuweni wastaarabu wakuu. Mambo ya kuingilia yasiyokuhusi ndo utaishia kwenda sero. msidhani mna uhuru wa kuimba au kuandika mtakacho. NOT TO THAT EXTENT

Imegoma kuatach .wav clip niliyo irekodi
 
Eti imegoma kuatach...au na wewe uliituma iatach kama aliyetumwa hospitali kutibiwa..?? we sema umeogopa kuiweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…