whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Wanamchelewesha kujenga kanisa huyu kijana jamani . Wamuachie ajenge kanisa kwanza halafu ndio wamkamate [emoji854][emoji854][emoji854]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tusi likowap pale??Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Wimbo wake wa kumkashifu mtukufu rais unaitwa "wapo"
Kwani kamtukana nani? Hajamtaja mtu kwenye wimbo wake kasoro jina Jakaya tu. Hata huyu Jakaya haijulikani ni Jakaya yupi!! Sijui tusubiri akipelekwa mahakamani shitaka atakalosomewa.Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Mkuu wewe ni Mtanzania kwel?Anastahili kuvuna alichopanda, sifa za kijinga
Eti imegoma kuatach...au na wewe uliituma iatach kama aliyetumwa hospitali kutibiwa..?? we sema umeogopa kuiwekaZa asubuhi wakuu. Leo asubuhi majira ya saa 1:29 nikisikiliza BBC world service, watangazaji walianza kuuelezea mziki wa bongo fleva. Then wakasema a local rapa called emmanuel elibariki, famously known as ney wa mitego has just released his new song "wapo" which means "they exist or they are there" halafu wakaupiga mwote mwanawani. Daaah.
Waliendelea kujadili kuwa the song has brought his problem because he has been arrested. walidai the man is a protester and he has addressed what is actually happening in dar-es-salaam.
My take, tuweni wastaarabu wakuu. Mambo ya kuingilia yasiyokuhusi ndo utaishia kwenda sero. msidhani mna uhuru wa kuimba au kuandika mtakacho. NOT TO THAT EXTENT
Imegoma kuatach .wav clip niliyo irekodi