Unajua kuna watu waliozaliwa na kukulia Manzese na Temeke kuna maneno magumu sana ambayo ni matusi lakini wao huwa wanatamka tu na wanayaona ni maneno ya kawaida - MaleziKatukana vipi? Hebu tutajie baadhi ya matusi aliyoyatoa...
Wimbo wake wa kumkashifu mtukufu rais unaitwa "wapo"
Mr front page na nay wote wapenda mijisifa mkuuUkweli.unauma.Mnagombea front page.Hahahahahaha meseji imefika au??
Kusema kweli ndio kutukanaNitasema kweli daima! Fitina kwangu................(in voice of Nape)
Atakuwa sober house huyo mpuuzeDuuh! Ni kuuliza swali tu ndiko kunakosababisha unitukane? Au nimekukosea nini? Si busara ndugu yangu...shukrani pia kwa matusi yako! Niliuliza kwa nia ya kutaka kujua...
Amemtukana nani?Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Anastahili kuvuna alichopanda, sifa za kijinga
Watamfanya nin sasa,kesi nin nin pale? Kaimba kawachan wasiopenda ushauri full stop!!...
Anapelekwa kufichwa kwa mudaAnapelekwa Mvomero? Atakuwa amechochea migogoro ya wakulima na wafugaji nini?
"Eti nawapenda sana" huwezi tafta kiki kwa magu ,yeye anatafta respect alaf wewe unatafta kiki.
Mkuu wakikujibu naomba niite. Maana hili swali hata akiulizwa Marais wa hawamu zote sijui kama watakuwa na Jibu.Nani katukanwa?