Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

uhuru sio huu mkuu...kuna maneno mwishoni pale du??
 
Hili nchi lina mijitu mijinga sana sasa ney katukana sehem gan zaid kaongea ukwel
 
Nadhani kuna haja ya kuisambaza tamthilia ya "Mfalme Juha" kwa wadau wote kuanzia koromije mpaka magogoni
 
uhuru sio huu mkuu...kuna maneno mwishoni pale du??
Nakuelewa unachosema mkuu. Tatizo labda reference yako ni Tz yetu ya Magufuli. Ungetembea kidogo huko duniani ungelewa ninachomaanisha. Kwa wenzetu walioendelea wimbo kama huo itakuwa ni kichekesho mtu kukamatwa.
 
Uhuru wa kuongea. Yule mwingine kamuimba JK kumbe alikuwa anataka kuimbwa yeye.

Tenda haki basi!Yeye kaamua pesa zote Chato hakuna anayemzuia asituzuia kusikiliza tunachokipenda.

Aligombea mwenyewe hatukumuomba.
Kamsaidie mkuu kulia humu hakusaidi gereza zuri Tanzania ni keko pekee yake
 
Hahahha dawa inaanza kupenya mnaanza kumkana bashite hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…