Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Jambazi au aliyekaidi amri ndio anakamatwa sasa sijui hapo true boy anakamatwa vipi
 
Wamemdaka! Ndiyo,ni huko Morogoro.
Msanii Ney wa mitego amekamatwa na Jeshi la polisi.Chanzo cha kukamatwa kwake hakijawekwa wazi hadi sasa.

Lkn wabashili wa mambo wanahusisha kukamatwa kwake na wimbo alioutoa hivi karibu ugusao moja kwa moja na mambo ya siasa.

Picha linaendelea.
Mwisho wa siku watanzania wote tutakaa mahabusu hakuna namna hii nchi imeharibiwa na CCM kwa kutumia vilaza wao Bashite na Baba yake
 
Kuna wakati namuelewa sana SANA sana Magufuli na nimejaribu kuangalia wengi wanaolalamika ni wale wale wa siku zote ambao hawataki mambo yao yawe hadharani
ACHA UPUUZI RAIA GANI HUYO ASIYE KUWA NA ADABU KWA VIONGOZI.....
amekosa adabu gani, amemtaja nani? nchi gani ameitaja? Wewe zuzuz tu wa sheria na taratibu. watamshitaki kwa kosa lipi?
 
Aibu br...pakua huo mziki utausikia.lengo ni jema ila contents na ukali wa maneno kwakweli unaleta ukakasi kidogo na hasa pale anaposema watu wamemkumbuka kikwete maanake anaonesha ni nani amemtageti na hayo matusi...sio sawa ktk nchi yenye watu wenye tamaduni ambazo bado zinaheshimu wakubwa.huko kwa wenzetu wala hai na shida.sisi hatujafika huko
Huo wimbo hamna sehemu aliyotaja neno kikwete kataja tu jakaya...but huyo jakaya unauhakika gani ni jakaya unayemfahamu wewe??na una uhakika upi kuwa kuwa wimbo ule unamaanisha ulivyouelewa wewe...ile ni kazi ya sanaa wewe ulivyo tafsiri inaweza kuwa sivyo ndivyo
 
Huu Uzi utanisaidia kufahamu umri halisi na IQ za member wa humu!
 
Kichaa kapewa rungu anapiga ovyo ovyo bora akamatwe atiwe ndani
 
Back
Top Bottom