Senator Hans
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 600
- 377
"Kichaa kapewa Rungu"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho wa siku watanzania wote tutakaa mahabusu hakuna namna hii nchi imeharibiwa na CCM kwa kutumia vilaza wao Bashite na Baba yakeWamemdaka! Ndiyo,ni huko Morogoro.
Msanii Ney wa mitego amekamatwa na Jeshi la polisi.Chanzo cha kukamatwa kwake hakijawekwa wazi hadi sasa.
Lkn wabashili wa mambo wanahusisha kukamatwa kwake na wimbo alioutoa hivi karibu ugusao moja kwa moja na mambo ya siasa.
Picha linaendelea.
Kuna wakati namuelewa sana SANA sana Magufuli na nimejaribu kuangalia wengi wanaolalamika ni wale wale wa siku zote ambao hawataki mambo yao yawe hadharani
amekosa adabu gani, amemtaja nani? nchi gani ameitaja? Wewe zuzuz tu wa sheria na taratibu. watamshitaki kwa kosa lipi?ACHA UPUUZI RAIA GANI HUYO ASIYE KUWA NA ADABU KWA VIONGOZI.....
Angel upo mamaIvi kama kweli ney kakamatwa kosa lake ni lipi hapooo????
Maana huyo bashite wa kolomije hatumjui km yupo ajitokeze
Na waliofumuliwa marinda je........hahhahahhahahahha wapoooo ?
#####freenation###
Nitasema kweli daima! Fitina kwangu................(in voice of Nape)
Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Huo wimbo hamna sehemu aliyotaja neno kikwete kataja tu jakaya...but huyo jakaya unauhakika gani ni jakaya unayemfahamu wewe??na una uhakika upi kuwa kuwa wimbo ule unamaanisha ulivyouelewa wewe...ile ni kazi ya sanaa wewe ulivyo tafsiri inaweza kuwa sivyo ndivyoAibu br...pakua huo mziki utausikia.lengo ni jema ila contents na ukali wa maneno kwakweli unaleta ukakasi kidogo na hasa pale anaposema watu wamemkumbuka kikwete maanake anaonesha ni nani amemtageti na hayo matusi...sio sawa ktk nchi yenye watu wenye tamaduni ambazo bado zinaheshimu wakubwa.huko kwa wenzetu wala hai na shida.sisi hatujafika huko
Alifanya kosa gani huyu jamaa?
Kwa hiyo mbowe ndo kaenda kumshtaki??Kamtukana mbowe kasema chadema chama cha ukoo
Wimbo wake wa kumkashifu mtukufu rais unaitwa "wapo"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hiyo mbowe ndo kaenda kumshtaki??