Targaryen
JF-Expert Member
- Feb 20, 2017
- 675
- 642
"Eti nawapenda sana" huwezi tafta kiki kwa magu ,yeye anatafta respect alaf wewe unatafta kiki.
respect gani anatafuta? mbegu anazopanda ndii izi zinakua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Eti nawapenda sana" huwezi tafta kiki kwa magu ,yeye anatafta respect alaf wewe unatafta kiki.
Wacha akakalie UTI kwanza hayo utayajua mwenyewe siku ya kesiHuo wimbo hamna sehemu aliyotaja neno kikwete kataja tu jakaya...but huyo jakaya unauhakika gani ni jakaya unayemfahamu wewe??na una uhakika upi kuwa kuwa wimbo ule unamaanisha ulivyouelewa wewe...ile ni kazi ya sanaa wewe ulivyo tafsiri inaweza kuwa sivyo ndivyo
Kwa nini wasimchome sindano ya sumu, kwani Ana umuhimu gani, mxieaaKwa huu wimbo jamaa hapa kidogo atachezea mvua na kukaaa mahabusu muda wa kutosha tu na asitegemee atachomoka hapaaa
Hamchelewi kusema ney shujaa...watanzania aliyewaroga mmmhWamemkamata ndio, watamfunga ndio ila wimbo wake utabaki mioyoni mwetu, utabaki kwenye cm zetu utapigwa kwenye radio zetu
hivi baba yako akokosea kitu unamwambia kwa kumtukana?Uoga ndio ulimuua mtu mjinga
Then what?Bila kujali watanzania wote tunatakiwa tuamke kila mtu kulingana na nafasi yake atumie nafasi aliyopo kukosoa serikali pale inapokosea
Msituchoshe, si muende polisi mkaulize??Kuna kashfa gani kwenye huo wimbo?
Ndo ataelezea sasa huko polisiHuo wimbo hamna sehemu aliyotaja neno kikwete kataja tu jakaya...but huyo jakaya unauhakika gani ni jakaya unayemfahamu wewe??na una uhakika upi kuwa kuwa wimbo ule unamaanisha ulivyouelewa wewe...ile ni kazi ya sanaa wewe ulivyo tafsiri inaweza kuwa sivyo ndivyo
Kachawi ka MorogoroMsituchoshe, si muende polisi mkaulize??
Wee usijifanye una mdomo kama kasuku, wafuate huko polisi ukawaelezee utumbo wakoBaraza la sanaa la taifa ndilo linawajibu wa kushughulika na kazi za sanaa na wasanii ikiwemo content ya kazi zao
Msanii akitoa kazi inayokuwa na content isiyo na maadili au isiyokubalika na jamii ya watanzani, ni BASATA ndio wanatakiwa kushughulika na msanii husika hata kumpatia adhabu inayostahili ikiwepo kuifungia kazi husika na msanii mwenyewe
hii ni tofauti kwa Nay wa Mitego!
kwa nini Amekamatwa na polisi ilhali BASATA ipo?
hapa jeshi limeingilia majukumu ya Basata!
ni nani katoa order ya Nay kukamatwa bila ya Basata?
Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.[/QUOT
Sirikali imebaki kuhangaika na mtu mmoja mmoja ambao hushindwa kuwatia hatiani kwa tuhuma wanazodai zimetendwanao huku ikipoteza muda mwingi na kuacha mambo ya msingi na muhimu kwa afya ya Taifa. Hizi ni dalili mbaya za kukwama ktk tope kabla ya kufikia tope lenyewe.