Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

morogoro sio sehemu nzuri kuishi.kwanza ni kwasababu ya lile joto, ambalo hakuna bahari ya kwenda kupoozea ufukweni. sehemu zote zenye joto huwa sio sehemu nzuri kuishi. hali ya hewa nzuri ni iringa, lushoto, mwanza,moshi. kwa wanaonielewa wamenielewa.
 
Hizo sifa zote sawa na Mwanza
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kutoka Mwanza mpaka morogoro masaa mangapi?
Yaani ukitoka Mwanza morogoro unaingia Saa tatu au saa nne. Alafu piga hesabu roles morogoro mpaka Mtwara, utafika saa ngapi?

Kwa kukusaidia ukitoka Mtwara saa 12 Asubuhi unafika morogoro saa 9:30 mpaka 10:30jioni
 
Aah kumbe unajua.
 
Hlo daraja lina connect mwanza na wapi?
Na mikoa ya Geita, Kagera,Kigoma na nchi jirani mkuu hivi ujue hapo panapotezaga muda mwingi sana kuvuka? Imagine km 3.2 mnatumia dk 45 mpaka lisaa, wakati inatakiwa mtumie dk3 pekee kama tu barabara ya kawaida na itaondoa jams za magari..
 
Daraja lao la miti lililojengwa kwa shilingi mil 30 mwanzoni mwa mwaka huu limesombwa na maji
 
Ukiona hadi GENTAMYCINE anaishi huu Mkoa jua si tu ni mzuri bali Umebarikiwa pia. Ni kweli Morogoro ni Mkoa mzuri mno.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na mikoa ya Geita, Bukoba na nchi jirani mkuu hivi ujue hapo panapotezaga muda mwingi sana kuvuka? Imagine km 3.2 mnatumia dk 45 mpaka lisaa, wakati inatakiwa mtumie dk3 pekee kama tu barabara ya kawaida na itaondoa jams za magari..
Hakuna Mkoa wa Bukoba
 
Na mikoa ya Geita, Bukoba na nchi jirani mkuu hivi ujue hapo panapotezaga muda mwingi sana kuvuka? Imagine km 3.2 mnatumia dk 45 mpaka lisaa, wakati inatakiwa mtumie dk3 pekee kama tu barabara ya kawaida na itaondoa jams za magari..
Sawa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…