Niliishi Morogoro 2011 wallah nilienjoy Sana,sun nilikuwa naenda kule Mlali nanunua matunda mengi na vuazi mbatata nikivijaza ndani mpaka nasahau,yani muda wote ukifungua friji lanukia matunda tu Jamani Morogoro ni pazuri sana ata wanangu walipendeza wakawa na afya nzuri sana bcoz ya vyakula vingi na matunda,nilikuwa naenda mjini jioni kununua maziwa fresh kwa wale wamama wanao uza maziwa jioni kwenye chupa za maji.
Jamani Moro tamu Sana,Dar ni uchafu na uboya tu.
Soon my boss will send me again to Morogoro.