Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

Huo ni kati ya mikoa ambayo kamwe siwezi kuishi. Ukiachilia mbali kuishi, hata ilipotokea mkutano, training au shughuli yoyote ya kiofisi imepelekwa Morogoro nilikua nina find excuse ya kutohudhuria..
Ukiondoa Kihansi, Udzungwa na Mikumi, sina sababu ya kwenda Morogoro
 
Morogoro nlipapenda sana ilonga msalabani,kilosa

Ova
 
Noa Moro Kila siku watu wanajenga maghorofa ya kibabe sana aisee unaweza kusema Moro ni jiji
 
Duu basi nilikosea sana tofauti na mtazamo wangu
Watoto wa kiligulu hatujawazoea mitandao fiche km hii [emoji16]
Nikija uko utanipeleka kinolo tukanunue nazi na ndizi[emoji16]
Mie mlugulu wa Matombo bana[emoji28]
 
Morogoro hivi sasa inakaliwa na nusu ya wasukuma hasa maeneo ya mbingu kule kwenye mashamba ya mpunga ni pazuri sema vumbi yakubidi kila siku unywe maziwa napo malinyi,mngeta,na mlimba pazuri sana mchele wa kutosha vyakula kwa wingi
vipi bado mashamba yapo?
 
Duu basi nilikosea sana tofauti na mtazamo wangu
Watoto wa kiligulu hatujawazoea mitandao fiche km hii [emoji16]
Nikija uko utanipeleka kinolo tukanunue nazi na ndizi[emoji16]
Karibu sana😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…