Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

๐‚๐ก๐š๐ง๐ ๐š๐ฆ๐จ๐ญ๐จ ๐ณ๐š๐ค๐ž ๐ก๐š๐ฎ๐ฃ๐š ๐ณ๐ข๐ญ๐š๐ฃ๐š, ๐ฎ๐ฆ๐ž๐ญ๐š๐ฃ๐š ๐ฌ๐ข๐Ÿ๐š ๐ญ๐ฎ, ๐ข๐ง๐ ๐š๐ฐ๐š ๐ฐ๐ž๐ง๐ ๐ข ๐ญ๐ฎ๐ง๐š๐ญ๐š๐ฆ๐š๐ง๐ข ๐ค๐ฎ๐ฃ๐š ๐ค๐ฎ๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ก๐ฎ๐ค๐จ, ๐ˆ๐ฅ๐š ๐ง๐š๐ฌ๐ข๐ค๐ข๐š ๐ก๐š๐ญ๐š ๐ฃ๐ข๐ฃ๐ข ๐ฅ๐š ๐Œ๐›๐ž๐ฒ๐š ๐ง๐š๐ฅ๐จ ๐ฅ๐ข๐ง๐š ๐ฆ๐ข๐ฌ๐จ๐ฌ๐ข ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ฌ๐ก๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ฒ๐š ๐ค๐š๐ฐ๐š๐ข๐๐š ๐ฌ๐š๐ง๐š
 
Umepiga nyundo ya kichwa mkuu.
 
Kama huto jali naomba uzungumzie kwenye angle ya biashara natamani sana kufanya bisness moro mtaji wangu ni 5m ... eb nipeni mawazo wadau

Biashara gani unataka kufanya?
Morogoro na DSM wanafanana hasa kwenye suala la biashara ya mavazi, wakazi wa Morogoro hasa wanawake wanapenda kuvaa tofauti na mikoa mingine,
Tofauti ni kuwa DSM kuna watu wengi lakini Morogoro hakuna watu wengi,
Ila ukipata Goli Pale Morogoro mjini utapata pesa.

Biashara ya Dagaa Mwanza, Dagaa wa Bukoba.

Biashara ya kununua Mbuzi dumila na huko vijijini Kwa bei nafuu na kuwasafirisha kwenda Dar.

Biashara ya Udalali wa mazao Kama Matikiti, vanilla ukipeleka vingunguti, DSM.

Biashara ya Maji, kuchimba Kisima maji matamu Maeneo ya Mkundi na kuwauzia watu, au kuchukua maji mjini na Gari na kuwaletea wateja.

Biashara ya beting au Yale mamashine ya Mchina.

Kuwa Promota na meneja wa wacheza ngumi ambao wapo wengi unawaleta Dsm.

Kuwa wakala wa makampuni yanayouza bidhaa Fulani uwe unawauzia watu wa wilayani ambao wa wafanyabiashara huja kuchukulia Mzigo Morogoro mjini badala ya kwenda DSM.

Biashara ya viwatilifu na pembejeo za kilimo.
 

Changamoto zake ni zakawaida Sana.

Mbeya kuzuri lakini panazidiwa na Morogoro Kwa mambo mengi.
 

Umeongea Ukweli. Hizo ni sehemu ya changamoto ambazo zinaasababishwa na uongozi mbovu
 
Ila hauna maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ