Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

Morogoro ndio gateway place nikichoka na mihangaiko ya dar, sometimes naamua tu natoka dar asubuhi nafika asubuhi Moro,nakula na kunywa naweza nikalala au nakrudi usiku kuja dar na nakua nine enjoy sana. It's a blessed city

Mkuu , hii idea nzuri sana !
 
Connected na kitu gani? Nikusaidie mawazo

Mfano,
Ndoo ya Dagaa ni TSH 50,000/= wakukaanga,

Wewe upo Mwanza, unauza Dagaa
Alafu Juma yupo Morogoro, anauza Dagaa haohao.

Mimi nipo Mtwara, embu nimbie utawezaje kuniuzia Dagaa Kwa BEI nzuri zaidi ya huyu aliyeko Morogoro?
 
Moro town poa kichizi kuna Universities 4 wasomi wengi wakigraduate hawarudi kwao mzunguuko wa pesa si haba hata watingaji wanaotinga reli ya kisasa SGR wamehamia mazima

Ndio Mkoa wenye wahamiaji wengi baada ya DSM.

Mikoa mingine wamejaa wazawa.
Kitendo cha watu wengi kuhamia Mkoa Fulani ni moja ya viashiria kuwa Mkoa huo ni mzuri katika Nyanja mbalimbali za maisha
 
Mfano,
Ndoo ya Dagaa ni TSH 50,000/= wakukaanga,

Wewe upo Mwanza, unauza Dagaa
Alafu Juma yupo Morogoro, anauza Dagaa haohao.

Mimi nipo Mtwara, embu nimbie utawezaje kuniuzia Dagaa Kwa BEI nzuri zaidi ya huyu aliyeko Morogoro?
Hapo kiufupi haukua umemtafuta huyo mtu wa connection vyema,wewe umeanza kutafuta connection kuanzia Mwanza jijini ambako dagaa wanachukuliwa mpaka na watu wa Zambia, Malawi... Ulipaswa kujua kwamba, urahisi wa bei unaanzia kwa mvuvi aliyeko visiwani kabla dagaa hazijagusa ardhi ya jiji
 
Hatimae mmetukumbuka na sie kina Mkude na Bwakila.

Ni mimi baba Dimoso hapa👍
 
Mwenda pia, wale wa mwanamtandeni, kingalu, hgg nk wote nawapa salamu.
wazee wa rubasazi,kolelo,lukange,duthumi,mngazi, bwakira, gomelo kisaki,mtamba, mvuha, magogoni turo wote nawapeni salamu zangu.

Vijana wa Moro na Dar wanafanana kitabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…