Morogoro: Polisi wazuia Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

Kazi ya polisi ni kulinda Aman Cha msingi kama chadema wanavikao vyao vya ndani hawatakiwi kuvunja Sheria hii ni nchi ya vyama vingi kumzuia katibu WA chama kutekeleza majukumu yake c SAWA kabxa Kwan hata mheshimiwa anataka aman
Msafara wa nini? Hata CCM hawana misafara, sasa nyie misafara ya nini! Kutaka sifa tu.
 
Ila kipindi cha JK hayo mambo ya vibali haikuepo, huyu mwendazake ndo alianzisha huu ushenzi, katika multiparty democrancy vibali hivyo vilisha tolewa na katiba tayari kwenye kipengere cha "freedom of political expression"
Dah!

Mwendazake ndio awamu ya sita? Au uelewi tupo awamu gani sasa hivi? Nakukumbusha mwendazake uliyemtaja ameshatangulia mbele ya haki, tupo na mama anaupiga mwingi.

Na hayo yote ndio matunda ya kupiga mwingi.
 
Well Noted Mkuu...
 
Huyo YEHODAYA aliwahi kumuomba yule ibilisi kibali cha kumuua Mh. Tundu Lissu kupitia jamvi letu hili na kweli Lissu akapigwa risasi. Hili tutakuwa tunamkumbusha huyo YEHODAYA kila mara na iko siku atajibu. Rekodi ipo kwani JF hutunza kumbukumbu.
Aiseeeee !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…