Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

1. Ndoa#2 Ni batili hence wazinzi.
2. Ndoa#1 itaendelea, ikiwa mmojawapo atataka divorce Lazima kuwe na vigezo ili mahakama ikiridhika itoe divorce. Au separation.
Kwa kusaini cheti kingine cha ndoa na bank teller prof amefsnya *Falsification maana Kuna sehemu inamtaka kuthibitisha kuwa kama ana ndoa nyingine.
 
Kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa, Serikali ina database ya watu waliofunga ndoa na watu walio na talaka. Mtu yeyote anaruhusiwa kutafuta taarifa za mtu mwingine kuhusu hali ya ndoa (status of marriage) na atapewa taarifa hiyo ikiwa imepigwa muhuri kabisa. Sasa sio kazi ya serikali kuzuia ndoa za watu kwa sababu tu wana ndoa nyingine (subsisting marriage) bali jukumu hilo tumeachiwa wananchi kwa sababu ndoa hufungwa hadharani na hutangazwa hadharani, hivyo kila mtu ana nafasi ya kujua na kupinga.
 
-hujasoma sheria ya Ndoa, kitendo Cha kuoa mke mwingine wakati Kuna Ndoa nyingine inaendelea hicho kitendo ni sawasawa na Ugoni, naona una uelewa finyu kuhusu Ugoni, kuoa mke mwingine wakati Ndoa Yako ni ya mke mmoja that amount to Ugoni, na pia kwenye sheria ya Ndoa Ni kosa, christian marriage is monogamous in nature unaelewa?
 
Sheria ya ndoa ina mikanganyiko mingi. Kuanzia uhalali na uharamu wa ndoa za utotoni hadi kuishi pamoja mwanamke na mwanamume kwa kipindi fulani kutambulika kuwa ni wanandoa.
 
Sheria ya ndoa ina mikanganyiko mingi. Kuanzia uhalali na uharamu wa ndoa za utotoni hadi kuishi pamoja mwanamke na mwanamume kwa kipindi fulani kutambulika kuwa ni wanandoa.
Hapa ninapandisha somo kuhusu SHERIA YA NDOA na taratibu zake, ni zuri sana litafaa sana hasa kwa kuzingatia comment zilizo katika uzi huu, nimeona ni vyema tupate uelewa wa sheria ya ndoa na sisi wenyewe tuwe na uamuzi wa kisheria tunapokutana na changamoto za kindoa.
 
Mtoto wa Kiha hao hawawezanagi na wasomi
Nani anataka mtu kang'ang'ana kuoga na magadi na mawese.....Prof akasema usintanie kavuta katoto keupe peee....kishundu hiihaa....kanatereza kwa kuoga na shower gel......

Wanawake jamani msibweteke mkiolewa, bado ninyi ni maua mpendeze bila mwisho, msiaachie house maid kutupikia, kutupikia...... huku nje tunakumbana na mengi....mwishowe ndo inakuwa hivi!!!
 
Kwanza tuwekee picha zao tuwaone.

Na hako katoto keupe ni suala la muda tu jamaa ataanza kumuona kama mbuzi ataenda kwa cheusi mangala.
 
Mahakamani uwanja wa vita
Ukishakuwa na kesi yoyote
70% mawazo yako inabidi uyaelekeze
Huko,ynafikiria namna ya kutoboa huko....stressfull Sana

Ova
Saana, wakati mwingine hukumu inatoka unajilaumu ,hivi hiki ndio nimehangaikia yote hiyo. Si bora ningefanya mambo mengine
 
Hizi kesi sio rahisi kiasi hicho. Halafu kesi ya ugoni huwezi kujipangia fidia mahakama inaamua upewe kiasi gani. Halafu Prof hawezi shitakiwa kwa ugoni, huyo wa bank ndio anashtakiwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…