Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Sasa mbona hakuna ugoni wowote hapo! Nilichogundua, Matilda Sigaret ni mwanamke mtata (pilipili)! Na asiyetaka kukubali matokeo.

Bora angewekeza nguvu zake kwenye kugawana mali na huyo Profesa (kama waliishi pamoja). Badala ya kutaka kulipwa hela za bure.
Hovyo!
 
Sasa mbona hakuna ugoni wowote hapo! Nilichogundua, Matilda Sigaret ni mwanamke mtata (pilipili)! Na asiyetaka kukubali matokeo.

Bora angewekeza nguvu zake kwenye kugawana mali na huyo Profesa (kama waliishi pamoja). Badala ya kutaka kulipwa hela za bure.
Kuoa Mke mwingine kinyume na mkataba kumbe ni nini?

Wewe ni mweupe haya mambo,Sasa Kwa taarifa Yako hata kama hujaoa Kwa Cheti kabisa Cha ndoa na ukamuacha wa awali ukaoa mwingine anakushitaki vizuri na mashahidi ni majirani wenu ndio utaona moto..

Unatakiwa ujue Kwa sehemu kubwa Sheria za mahusiani zinawalinda wanawake na Watoto,mwanaume huna chako.
 
Hii kesi mama kashashindwa mapeeema, yaan bora angeenda kanisani angesaidiwa angalau km angeshindwa ndio angeenda mahakamani kwa ushauri wa baba paroko kwamba huku tumewashindwa nendeni mahakamani na barua wanapewa, sasa hukurupuki tu kukimbilia mahakamani unaikimbilia Marriage Act je! umefuata procedure ulienda kanisani kupata suluhu mkashindwana na kupewa kibari cha kwenda mahakamani au kalidharau kanisa?
Kwa hiyo unafkiri wakili wake hajui hayo!?
 
Hiyo miaka 10 alikuwa analipa kodi ya nyumba au alikuwa analala bure? , Hiyo miaka 10 alikiwa analishwa au alikuwa analazwa njaa? Hiyo miaka 10 watoto wake wamesomeshwa au wameachwa wawe machokoraa? Nini limzuia kujenga nyumba zake hadi ategemee za mwenzake?

Kuchakatwa ni tendo la starehe, kama alikuwa anapewa starehe willingly shida ipo wapi? Mbona wasipochakatwa wanachepuka?
Kwani alikuwa housegirl Hadi useme hivyo? Anadai fidia ya kumdhalilisha lipeni
 
Kesi kama hizi ushahidi wake huwa haupatikani kirahisi kama mnavyodhani. Itapigwa kalenda kwa miaka mingi hatimaye itafutwa kwa kukosa ushahidi. Huyu mwanamke aliyefungua kesi hana akili. Yeye anashindwa kuwajibika kwa mumewe kumgawia mbunye ipasavyo lakini anamzuia asioe? Mpuuzi mkubwa! Mwanamke asiyekuwa na akili huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
Hujakutana na wanawake watata wewe,iishie wapi? Kwanza anaweza kukulaza ndani na ukanyea debe vilevile
 
Evidence of character

Rejea kusoma Evidence Act utaelewa nnachomaanisha, nyinyi mnaangalia maamuzi yatatolewa kwa kuangalia cheo cha mtu au muonekano wa mtu hell no wanaweza hata wasiwe na kosa la ugoni Ila Matrida kapika kesi kwa sababu zake binafsi you never know
Kwani hawajafunga ndoa prof na huyo bank teller?
 
Back
Top Bottom