Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Hovyo!
 
Kuoa Mke mwingine kinyume na mkataba kumbe ni nini?

Wewe ni mweupe haya mambo,Sasa Kwa taarifa Yako hata kama hujaoa Kwa Cheti kabisa Cha ndoa na ukamuacha wa awali ukaoa mwingine anakushitaki vizuri na mashahidi ni majirani wenu ndio utaona moto..

Unatakiwa ujue Kwa sehemu kubwa Sheria za mahusiani zinawalinda wanawake na Watoto,mwanaume huna chako.
 
Kwa hiyo unafkiri wakili wake hajui hayo!?
 
Kwani alikuwa housegirl Hadi useme hivyo? Anadai fidia ya kumdhalilisha lipeni
 
Hujakutana na wanawake watata wewe,iishie wapi? Kwanza anaweza kukulaza ndani na ukanyea debe vilevile
 
Kwani hawajafunga ndoa prof na huyo bank teller?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…