Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita kati ya saa 12:31 - 12:32 mchana

Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita kati ya saa 12:31 - 12:32 mchana

Mwenyezi Mungu awastiri, huwa haliji moja tu.

Huanza (forequakes) matetemeko madogo ya ardhi yanayotokea mahali pamoja na tetemeko kubwa linalofuata. Wanasayansi hawawezi kusema kwamba tetemeko la ardhi ni tukio la mbele hadi tetemeko kubwa zaidi litokee. Tetemeko kubwa zaidi la ardhi linaitwa mtetemeko mkuu. Mitetemeko mikubwa huwa na mitetemeko inayofuata. Haya ni matetemeko madogo ya ardhi ambayo hutokea baadaye katika sehemu sawa na mtetemeko mkuu. Ikitegemea ukubwa wa mshtuko mkubwa, mitetemeko ya baadaye inaweza kuendelea kwa wiki, miezi, na hata miaka baada ya mshtuko mkubwa!

Chanzo: The Science of Earthquakes | U.S. Geological Survey!
 
Elimu nzuri mkuu!Nimeongeza maarifa kwamba tetemeko la ardhi halitabiriki.
 
Nipo mitaa ya 88 mji kasoro bahari mida hii 12:31 - 12:32 Pm limepita tetemeko la ardhi japo kipimo chake hakijajulikana, labda mamlaka husika zitasema.

Enjoy your day guys
Ni mheshimiwa Abood anautikisa mji kwa vishindo vyake vya kutembelea vijiwe vya bodaboda.
 
Mwenyezi Mungu awastiri, huwa haliji moja tu.

Huanza (forequakes) matetemeko madogo ya ardhi yanayotokea mahali pamoja na tetemeko kubwa linalofuata. Wanasayansi hawawezi kusema kwamba tetemeko la ardhi ni tukio la mbele hadi tetemeko kubwa zaidi litokee. Tetemeko kubwa zaidi la ardhi linaitwa mtetemeko mkuu. Mitetemeko mikubwa huwa na mitetemeko inayofuata. Haya ni matetemeko madogo ya ardhi ambayo hutokea baadaye katika sehemu sawa na mtetemeko mkuu. Ikitegemea ukubwa wa mshtuko mkubwa, mitetemeko ya baadaye inaweza kuendelea kwa wiki, miezi, na hata miaka baada ya mshtuko mkubwa!

Chanzo: The Science of Earthquakes | U.S. Geological Survey!
Na ile ya wadada vifutu wanene?
 
Nipo Dar natoka Tegeta naenda Kivukoni, nipo kwenye Eicher. Halafu ndio nasoma hii nyuzi ya Tetemeko. Eicher halitulii hadi nikahisi ndio tetemeko lenyewe nini. Namalizia kusoma ndo nkajua kumbe ni Moro. Maana Eicher linadundadunda hatari dah!

Pole sana bana.
Nawewe unapanda daladala? Jf ina vituko sana
 
FaizaFoxy umetumia google translater au tool gani nyingine maana sijaelewa ile ya kiswahili ila hii ya ulikotupa link nimeielewa kirahisi zaidi

Sometimes an earthquake has foreshocks. These are smaller earthquakes that happen in the same place as the larger earthquake that follows. Scientists can’t tell that an earthquake is a foreshock until the larger earthquake happens. The largest, main earthquake is called the mainshock. Mainshocks always have aftershocks that follow. These are smaller earthquakes that occur afterwards in the same place as the mainshock. Depending on the size of the mainshock, aftershocks can continue for weeks, months, and even years after the mainshock!
 
Back
Top Bottom