Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita muda huu 18.03.2024 saa 16:16

Wadau msibishe. Wanyama wana uwezo wa kung'amua (detect) tetemeko muda mfupi kabla halijatokea. Wakiwepo eneo utaona wanaanza kukosa utulivu n.k

Kwa ambao hamfahamu, hadi hivi leo hakuna njia yoyote ya kisayansi inayoweza kutabiri uwepo na ukubwa wa tetemeko la ardhi. Ni hadi litokee ndipo linapimwa.
 
Mfao wachunga wanyama porini ukiona kondoo wanaanza kupiga miti vichwa au ngo'ombe kuanza kukimbia huko na huko wakiwa wamenyanyua mikia juu kama wameehuka mvua ikiwa inanyesha yenye radi jua radi inatua eneo hilo muda wowote kimbia kaa eneo la wazi usikae chini ya mti wowote radi inakulamba mzima
 
Wadau msibishe. Wanyama wana uwezo wa kung'amua (detect) tetemeko muda mfupi kabla halijatokea. Wakiwepo eneo utaona wanaanza kukosa utulivu n.k
Tsunami kubwa mfano iliyotokea sehemu za Asia wanasema wiki mbili kabla wanyama walianza kukosa utulivu nyoka ,paka na mbwa nk walianza kukimbia kuelekea milimani bila kujua sababu wawe ng'ombe mbuzi nk walipenda kukimbia kuelekea milimani na kuwarudisha chini ilikuwa shida sana hawajakaa sawa Tsunami hii hapa
 
πŸ™πŸ™
 
πŸ™
 
kweli watanzania wengi wana matatizo ya akili kwa iyo mbwa wakibweka na kuku wakitoa milio ndio tetemeko la ardhi teyari......duuuuh mkuu umetisha
Wewe na yeye nani mwenye tatizo? Hata wakati wa tsunami watu wangefuata wanyama ambao walianza kuondoka mapema kutoka ukanda wa bahari athari zungepungua.

Wanyama wanahisi hatari haraka zaidi kabla yetu viumbe wajuaji.
 
kweli watanzania wengi wana matatizo ya akili kwa iyo mbwa wakibweka na kuku wakitoa milio ndio tetemeko la ardhi teyari......duuuuh mkuu umetisha
Usasa unawamaliza, hata tetemeko la kule Japan ndege waliondoka mapema kabla ya tetemeko kutokea. Kwahiyo inatakiwa ujue kuwa kuna baadhi ya viumbe Mungu Amevipa uwezo wa ku sense majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…