Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita muda huu 18.03.2024 saa 16:16

Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita muda huu 18.03.2024 saa 16:16

KULIVO JAA NGONO MOROGORO NA ILO TETEMEKO NAHISI WENGINE WAKOSEA PA KUCHOMEKA BAADA YA KUPITA
 
🤣🤣🤣🤣

Watu wanapigana kamba humu duhhh

Hata kama tuna swaum ila Uongo tunaujua

Hadith za zamani hizo eti ukifuga njiwa ukiona wanaoingia ujue unakaribia Kufa

Kumbe wahenga waongo mpooooo

Nimepiga sim ila naambiwa hakuna labda liwe earthquake la kikanda
Ungesema upo eneo gani

Achana na Kuku na Mbwa
Kuku akijamba tu anaruka na kupiga kelele mbio mtu,utafikiria kakatwa kichwa,sasa Mbwa akiwa jinga na yeye anafuata tu kubweka anajua hatari kumbe mwenzie Kajamba Mr.Kuku
👇
 
Back
Top Bottom