Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita muda huu 18.03.2024 saa 16:16

kweli watanzania wengi wana matatizo ya akili kwa iyo mbwa wakibweka na kuku wakitoa milio ndio tetemeko la ardhi teyari......duuuuh mkuu umetisha
Ushajulikana mkuu kuwa ni wewe mwenye tatizo la akili,fanya mpango ukawaone wataalam wa afya ya akili.
 
kweli watanzania wengi wana matatizo ya akili kwa iyo mbwa wakibweka na kuku wakitoa milio ndio tetemeko la ardhi teyari......duuuuh mkuu umetisha
Ndio wanyama wanaoana mambo binadamu hatuwezi kuyaona,sijui unanielewaaa
 
Hali ikoje huko uliko?

Hapa Moro limepita tetemeko la ardhi na dakika kadhaa kabla yake wamesikika kuku, mbwa wakitoa milio iliyoashiria kuwepo kitu kisicho cha kawaida.
Magu is turning in the grave!
 
Tsunami mkuu
 
Wewe na yeye nani mwenye tatizo? Hata wakati wa tsunami watu wangefuata wanyama ambao walianza kuondoka mapema kutoka ukanda wa bahari athari zungepungua.

Wanyama wanahisi hatari haraka zaidi kabla yetu viumb
Sahihi kabisa wafugaji mfano ukiona mbwa anabweka sana usiku au mchana mlio wa ajabu usio wa kubweka wa kawaida kama analia vile ujue kuna fisi , joka au mwanga yuko.mbali aja uelekeo wako kuwanga eneo lako yuko mbali aja chukua hatua
 
Dar April 20- May 20 Kuna shida yaja.

Habari wanazo, wanapuuza.
 
Nilikua maeneo mkabala sana na hapo hila sikusikia kitu uwenda nilisinzia sana na mbembelezo wa mvua nyepesi hii balaa kabisa.
waweza stuka watu wanakuchomoa kwenye kifusi aisee dunia hii
 
🤣🤣🤣🤣

Watu wanapigana kamba humu duhhh

Hata kama tuna swaum ila Uongo tunaujua

Hadith za zamani hizo eti ukifuga njiwa ukiona wanaoingia ujue unakaribia Kufa

Kumbe wahenga waongo mpooooo

Nimepiga sim ila naambiwa hakuna labda liwe earthquake la kikanda
Ungesema upo eneo gani

Achana na Kuku na Mbwa
Kuku akijamba tu anaruka na kupiga kelele mbio mtu,utafikiria kakatwa kichwa,sasa Mbwa akiwa jinga na yeye anafuata tu kubweka anajua hatari kumbe mwenzie Kajamba Mr.Kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…