ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sijui huko kwa wenzetu hakunaga ngedere na ndege?
View: https://www.instagram.com/p/C-FLf4atYmQ/?igsh=bmIxYzJxbWs5aXBx
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui huko kwa wenzetu hakunaga ngedere na ndege?
mambo za kawaida za wapi/nchi gani? Mwendo kasi mlisema hivi hivi!Hiyo treni ndani nzuri sana hizo mambo kwa Tren za umeme kawaida tu cha msingi ipo salama na abiria wake..
Brother haya mambo yanatokea tena mnapewa taarifa Canada jamaa iliwahi kutokea ila sio muda mrefu hapo kwa Kaburu Gauteng walivyokua na tatizo la umeme iliwahi kutokea pia mambo ya kiufundi kuharibika ni kawaida sana labda mtu asijue hizi mambo sema ni vile imetokea Tanzania tunaona ni kama Wazembe.mambo za kawaida za wapi/nchi gani? Mwendo kasi mlisema hivi hivi!
Hivi haiwezekani wakafanya kama magari ya umeme,manake ndio tekinologia ya Sasa(recent)Watakanusha
"hitilafu za aina hiyo husababishwa na wanyama (ngedere) au ndege (bundi) wanapogusa nyaya za umeme zilizotandazwa juu ya reli (overhead catenary system)"! Sababu hii si ya kweli, sijaona sehemu yoyote ya reli ambayo kuna waya zimetandazwa juu yake, waya zilizopo zipo kwenye nguzo labda watueleze kwanini hawakufikiria kuweka vizuwizi vya kuzuia wadudu na wanyama wasiweze kuzifikia waya.Wakuu, nasikia tren ya SGR Dar-Dodoma imezima katika kituo cha kidete.
Pia soma: Serikali yasema treni ya SGR haitokuwa na tatizo la umeme
Milango imefunguliwa ili wapate hewa wakisubiri umeme urejee.
Mwenye taarifa zaidi atujuze.
==
UPDATE
Umeme ulirudi karibia saa saba za usiku na safari ikaendealea, hitilafu hiyo yasemwa kusababishwa na high voltage ya umeme wa TANESCO.
Pia soma: TRC yatolea ufanunuzi kuzimika kwa treni ya SGR Julai 30, 2024 katikati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete
UPDATE
HITILAFU YA UMEME KATI YA KILOSA NA KIDETE
Dar es Salaam, Tarehe 31 Julai 2024
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza kati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete na kusababisha treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) iliyokuwa inasafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma kusimama kwa muda wa saa mbili (2) siku ya tarehe 30 Julai 2024.
Taarifa za awali zinaonesha kuwa hitilafu za aina hiyo husababishwa na wanyama (ngedere) au ndege (bundi) wanapogusa nyaya za umeme zilizotandazwa juu ya reli (overhead catenary system). Hitilafu ilisababisha umeme kukatika kituo cha kupoozea umeme namba 7 (Godegode) ambayo kitaalamu hujulikana kama (Instanteneous Overcurrent Protection Trip) majira ya saa 4:20 usiku.
Mafundi wa TRC walifanikiwa kutatua changamoto na kurejesha umeme saa 6:30 usiku na treni kuendelea na safari kuelekea Dodoma, na kuwasili Dodoma majira ya saa 7:57 usiku.
Shirika la Reli Tanzania linaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Jamila Mbarouk
MKUU WA KITENGO CHA UHUSIANO
Tayari, mkurugenzi mkuu wa shirika la Reli Tanzania TRC Bw Masanja Kungu Kadogoso majibu tafadhali !
WAZIRI MAKAME MBARAWA : RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA SGR DAR - DODOMA 1/08/2024
View: https://m.youtube.com/watch?v=SsyA-E2wR1A
Hzo line za kizimkazi,msoga wana jenereta automatic hata huwa hawajui kama kuna matatizo ya umeme nchi hiiKuweni wavumilivu, Tanesco imeajiri vijana wakakamavu kitengo cha kukata umeme, sasa wanafanya majaribio, na hilo ni jaribio lakwanza. Kesho watakata line ya kizimkazi, msoga wajiandae keshokutwa.
Watu inabidi wafurahie kukatika kwa umeme maana wamechukia muda mrefu sana. Ni uhuzinike kisa umeme umekatika? 😁😁😁😁.Hii habari itawafurahisha wengi sana.
HATERS.
Kwa taarifa za ndani nilizopata nikuwa wakati inaingia katika eneo la Kidete kwa maana na power inakuwa switched kutoka station moja kwenda nyingine taa za charge hazikuwaka sababu umeme ulikuwa umapata short hata hivyo kwa sababu ya power back up ilitembea muda kidogo kabla ya kusimama kitu kizuri mafundi waliweza kurudishia mfumo mimi nadhani tuchukulie jambo la kawaida tu hata ndege huwa zinapata changamoto tumeona majuzi kukatika kwa IT tu ndege kibao zikashindwa kuruka, ma Bank yakafungwa hata magari yanapata changamoto na Train sababu umeme ndio nishati kuu ya kuendesha tuchukulie kawaida. Tusilifanye kisiasa sababu tu wengine wana chuki na kijani.Tatizo walisema treni lina backup ya umeme kukatika sasa wanyoshe maelezo mbona wanasema limesimama kwa itilafu ya umeme nje ya treni ....hapo ndipo utata unapo anza au backup za mafuta ya generator zake wahuni wa ccm wamesha gawana kwenye vidumu .
tuna historia ya failure in every aspect!Brother haya mambo yanatokea tena mnapewa taarifa Canada jamaa iliwahi kutokea ila sio muda mrefu hapo kwa Kaburu Gauteng walivyokua na tatizo la umeme iliwahi kutokea pia mambo ya kiufundi kuharibika ni kawaida sana labda mtu asijue hizi mambo sema ni vile imetokea Tanzania tunaona ni kama Wazembe.
Magari Toyota,Ford na BMw yanarudishwa kiwandani kwa sababu ya fault tena yaliyouzwa kabisa yapo mtaani kitu gani cha ajabu hapo..
Ni kweli mkuu ila kujaribu vitu vizuri kama tunaweza wacha wajaribu maana vikiwepo wapo watakaokuja kufanya maajabu humo humo najua hilo ila naona tunaenda vizuri kama tutatulia...tuna historia ya failure in every aspect!
awajibike kesho aje kula kwako? kesho watoto wasiende chooni? wewe vipi?Kadogosa wajibika.
Ameshasema ni bundi na ngedere ndio wameleta fedheha sasa ulitaka aende na gobole kuwawinda? Kazi ya askari wa wanyama pori .Hao wawajibike kutowatunza wanyama wao.Hiyo route akodishe shibibi, tuone kama haijaleta matunda.
Usikute hapo Behewa la kuendesha hiyo treni limekwisha kufa kwa kusukumiwa umeme mkubwa, bonge la hasara ya mabilioni.
Na uzembe wa umeme hauihusu mikataba ya "warranty".
Kadogosa wajibika.
Hizo sababu zinawezekana lakini ni za kijinga kabisa.Ameshasema ni bundi na ngedere ndio wameleta fedheha sasa ulitaka aende na gobole kuwawinda? Kazi ya askari wa wanyama pori .Hao wawajibike kutowatunza wanyama wao.
siyo hiko ni hichoHizo sababu zinawezekana lakini ni za kijinga kabisa.
WQao wenye dhamana ya usalama wa reli walikuwa wapi mpaka ngedere na nyani wanakwea zilipo waya?
Katika elimu ya mawasiliano, na siku hizi imekuwa sana kuna vitu vinaitwa "telemetry". Dunia ya biashara kwa sasa mehama katika mawasiliano ya mtu kwa mtu na sasa ipo katika mawasiliano ya vitu kwa vitu na vitu kwa watu.
Sensors kidogo sana tena z gfharama nafuu sana na vijidude vya kuwatisha hao ndegere kwa sauti wasizozipenda wala hazihitaji mtu kuwepo line nzima hiyo.
Ni ujinga tu umetujaa, hakuna zaidi. Utengeneze reli ya matrilioni ushindwe kuweka vi sensoe vichache na mfumo wa kuweza kuilinda na kuiona line nzima mwanzo mpaka mwisho?
Kama si ujinga ni nini hiko?
Nafahamu kwa Watanzania wengi ambayo siyo fanyi yenu hiyo ya mawasiliano mnaweza kuona naongea vitu vya kiajabu, lakini ni vitu very simple.
usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Hakuna ujinga zaidi ya sababu hizo kuisimamisha treni ya kibiashara maporini.
Umejitahidi kutetea ila haisaidii! Kwa wenzetu ni tofauti kabisa!Brother haya mambo yanatokea tena mnapewa taarifa Canada jamaa iliwahi kutokea ila sio muda mrefu hapo kwa Kaburu Gauteng walivyokua na tatizo la umeme iliwahi kutokea pia mambo ya kiufundi kuharibika ni kawaida sana labda mtu asijue hizi mambo sema ni vile imetokea Tanzania tunaona ni kama Wazembe.
Magari Toyota,Ford na BMw yanarudishwa kiwandani kwa sababu ya fault tena yaliyouzwa kabisa yapo mtaani kitu gani cha ajabu hapo..