Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwan ni sahihi kumcheleweshea mtumishu malipo yake ? hv akili zimo mkuu?Mishahara ikichelewa kidogo mnapiga kelele na kulalamika....ohh Mama..leo kwenda kumsikiliza mnalalamika mnalazimishwa...
Chama Cha MajingaNi mtazamo tu wa wananchi na Wana mapinduzi wa CCM. Kila la kheri mheshimiwa Samia suluhu Hassan.
uadilifu wa kusaini mkataba bila kujali kipengele cha muda ? hz njaa mtasifia hadi walevitunaposema Rais Dr Samia suluhu Hassan ni kipenzi cha waTanzania hiyo ndio maana yake..
Chimbuko la uongozi wa kizalendo ni shule. ni muhimu na ni jambo la maana sana watoto wa shule ngazi tofauti tofauti kufanyishwa mazoezi ya kizalendo na kuambukizwa roho ya utumishi, uadilifu na uongozi tangu chini kabisaa....
maandalizi ya viongozi mbalimbali hususani Marais wa wakati ujao yana anza sasa na kama sio sasa ni sasa hivi 🐒
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu wabariki chipukizi waTanzania
alienda department gan pale uwanjani ? akili za ccmu zinatia mashakaMwanzisha mada is stupid hajui hata Government inavyoendeshwa.
President is a Head of State
President is a Leader of Executive
CEO amekuja kwenye Department yenu msiendeke kwenye kikao?
Gen Z always stupid
maccmu huwa magumu kusoma ndio maana mlisaini mkataba wa bandari kichwa kichwa , kwenye hitimisho la hiyo barua wamesema waende na walio chini yao kiutendaju yaan mwalimu mkuu na walimu wakeI told you nyie ni idiots barua imetoa maelekezo akina nani wanatakiwa waende kwenye mkutano.
View attachment 3062988
Low education na kukurupuka kunawasumbua sana 🤣 🤣 🤣
kwa uchumi gan mliokuwa nao kufunga ofisi za umma ? baadae mnalalamika ukoloni kuwafanya muwe maskiniWe utakuwa ni mzaliwa wa hivi karibuni. Enzi za Nyerere na Mwinyi hadi maduka yalikuwa yanafungwa. Sasa wewe umeajiriwa na yeye, hutaki kwenda kumsikiliza, badala yake unaleta baruq yako humu kana kwamba ni jambo jiiipyaa! Acha umburula, hutaki kazi Acha p.u.m.b.a.v.u mkubwa we!
Weka screenshot inayoonesha imeandikwa waende waliochini yao. Nyie CHADEMA mnaongozwa na DJ mbowe mtakuwa na akili kweli?maccmu huwa magumu kusoma ndio maana mlisaini mkataba wa bandari kichwa kichwa , kwenye hitimisho la hiyo barua wamesema waende na walio chini yao kiutendaju yaan mwalimu mkuu na walimu wake
Watu wasilazimishwe, waende kwa mapenzi yao.Mishahara ikichelewa kidogo mnapiga kelele na kulalamika....ohh Mama..leo kwenda kumsikiliza mnalalamika mnalazimishwa...
mikataba wanasaini binadamu sio malaika, kama kuna dosari au kasoro mahali, then ni mapungufu ya kibinadamu tu,uadilifu wa kusaini mkataba bila kujali kipengele cha muda ? hz njaa mtasifia hadi walevi
Hapana sio chama Cha majinga, chama kilicho bora katika nchi ya Tanzania.Chama Cha Majinga
kwamba protocol ya uwongozi inakutaka uache kuzalisha mali/kutoa huduma kwa wahitaji (wanafunzi) ukamsikiloze raisi anazindua kiwandaWengine hawajui protocol za uongozi.
Kuna haja gani ya wanafunzi kuendelea kubaki shuleni kama walimu wote hawapo shuleni, kwanini wasiende nyumbani kuwasaidia wazazi wao kazi huku wengine wakienda kurefresh akili kwa namna zao?Wanafunzi wa shule za msingi, primary ni waajira ?
Kwan nini walazimishe wanafunzi kuacha Masomo kisa siasa
Mwenyekiti taifa anataka kujaza nyomi TuKuna haja gani ya wanafunzi kuendelea kubaki shuleni kama walimu wote hawapo shuleni, kwanini wasiende nyumbani kuwasaidia wazazi wao kazi huku wengine wakienda kurefresh akili kwa namna zao?
Duh! Kwa signature hiyo, inaonesha Mkuu ni munoma. Hapo lazima mtu ashughulikiweWatumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa kuchukua rokoo ya waalimu walio hudhuria kisha watakao kaidi majina yao yatawasilishwa kwa mkurugenzi wa manispaa.
Hii ni barua tuliyopewa (wakuu wa shule) kisha tumepigiwa simu kuhesabu watumishi walio chini yetu na kuwasilisha majina ya watakao kaidi.
Mimi ntawashughulikia watakao kaidi kulinda kibarua changu. Nakupenda sana mama yangu Samia (kwa sauti ya kinafiki)
View attachment 3062618