Morogoro: Watumishi wa Umma Walazimishwa kwenda kwenye mkutano wa Rais Samia leo hii

Lazima wahudhurie maana Ndiye muajiri wao na ndie mlipaji wao wa Mishahara na ndiye amewafanya wawe na tabasamu,furaha na matumaini makubwa sana kutokana na kazi kubwa sana aliyoifanya ya kuboresha maslahi yao ikiwepo kupandisha mishahara yao kwa 23% hasa kwa wale wa kima cha chini,kulipaa malimbikizo yote ya madeni,kurejesha nyongeza ya kila mwaka ,kuboreshwa kwa mazingira ya kazi n.k. kwa hiyo wanakwenda kumsikiliza na kupokea maelekezo mbele ya wananchi ili wananchi wajuwe nini kimeagizwa na Rais wao kwa watumishi wao . Kusudi wananchi wakienda kupata huduma na wakatendewa tofauti na maelekezo ya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa waweze kutoa taarifa ili hatua ziweze kuchukuliwa
Serikali hainaga hela, hela zote ni za wananchi hivyo anayelipa mishahara ya watumishi wa serikali ni mwananchi.
 
🤣🤣🤣 Kukubalika Kwa kutokubalika 🤣🤣

Nakumbuka Nikiwa Shule ya Msingi tulikuwa Tunamsumbua Sana mwalimu wetu Tukisikia Nyerere Anapita,Tunamsumbue tutoke Tukamuone Nyerere...
NA nilipofika Secondary Hivyo hivyo Nyerere akipita Watu walikuwa Wanatoka majumbani wanajaa barabarani kumpokea Baba wa Taifa kwa bashasha Bila kulazimishwa...

Na hata kwa Mwinyi, Mkapa tulishuhudia hayo Wananchi kwa Hiari Yao wakipita mtaani na kujazana barabarani kumlaki Rais....

Nakumbuka ilikuwa ukipata bahati ya Kushikwa mkono na nyerere basi utatamba mtaa mzima na Watu watakuja Kukugusa utawatoza Sh 5 au sh 2 kwa kila mtu atakayekushika ....

Ama kweli Zama zinabadilika Kutoka Kukimbiliwa na wananchi mpaka kuwalazimisha wananchi??...

Kama ni kweli bhasi wamefeli pakubwa
 
Grahams njoo ona CCM Huku inatia kinyaa
Hahaha .........Kwa taarifa za Chini Chini hizo Ziara za Mama zitafanyika Nchi nzima Kwa kutembelea Halmashauri zote 185 katika kujijenga na kujiandaa na Uchaguzi Mwakani

Kule magogoni sijui pana utamu gani, Kila anayeingia hatamani kutoka mapema

Isingekuwa Uzee huu nilionao ningeomba ridhaa japo ya miaka 5 tu nami nikafaidi matunda ya Magogoni 😜
 
Lazima wahudhurie maana Ndiye muajiri wao na ndie mlipaji wao wa Mishahara na ndiye amewafanya wawe na tabasamu,furaha na matumaini makubwa sana kutokana na kazi kubwa sana aliyoifanya ya kuboresha maslahi yao ikiwepo kupandisha mishahara yao kwa 23% hasa kwa wale wa kima cha chini,kulipaa malimbikizo yote ya madeni,kurejesha nyongeza ya kila mwaka ,kuboreshwa kwa mazingira ya kazi n.k. kwa hiyo wanakwenda kumsikiliza na kupokea maelekezo mbele ya wananchi ili wananchi wajuwe nini kimeagizwa na Rais wao kwa watumishi wao . Kusudi wananchi wakienda kupata huduma na wakatendewa tofauti na maelekezo ya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa waweze kutoa taarifa ili hatua ziweze kuchukuliwa
Kwahiyo asahv Rais ndo analipa mishahara??

Huyo Rais hizo hela anazitoa wapi?

Vp wale wa Shule binafsi?... Nao wanalipwa na Rais?

Hivi tunatengeneza Nchi ya aina gani?
 
Kwa lazima? Halafu huyo Samia ni nani aliye mchagua?
Mgombea mwenza huwepo kwenye ballots wakati wa uchaguzi. Pili: Mtu anayeshika madaraka ya Urais kwa mujibu wa Katiba anakuwa na nguvu kutoka kwa umma kama aliyechaguliwa wakati wa General Elections.
 
Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa kuchukua rokoo ya waalimu walio hudhuria kisha watakao kaidi majina yao yatawasilishwa kwa mkurugenzi wa manispaa.

Hii ni barua tuliyopewa (wakuu wa shule) kisha tumepigiwa simu kuhesabu watumishi walio chini yetu na kuwasilisha majina ya watakao kaidi.

Mimi ntawashughulikia watakao kaidi kulinda kibarua changu. Nakupenda sana mama yangu Samia (kwa sauti ya kinafiki)

View attachment 3062618
We utakuwa ni mzaliwa wa hivi karibuni. Enzi za Nyerere na Mwinyi hadi maduka yalikuwa yanafungwa. Sasa wewe umeajiriwa na yeye, hutaki kwenda kumsikiliza, badala yake unaleta baruq yako humu kana kwamba ni jambo jiiipyaa! Acha umburula, hutaki kazi Acha p.u.m.b.a.v.u mkubwa we!
 
Dawa Gen wa kitanzania watakaoojitambuwa tu!
Ujinga gani huu?! 🤬🤬🤬
 
Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa kuchukua rokoo ya waalimu walio hudhuria kisha watakao kaidi majina yao yatawasilishwa kwa mkurugenzi wa manispaa.

Hii ni barua tuliyopewa (wakuu wa shule) kisha tumepigiwa simu kuhesabu watumishi walio chini yetu na kuwasilisha majina ya watakao kaidi.

Mimi ntawashughulikia watakao kaidi kulinda kibarua changu. Nakupenda sana mama yangu Samia (kwa sauti ya kinafiki)

View attachment 3062618
ndo nchi imefika huku ?
 
Signature ya kinoko sana, ila niulize, kuna shida gani watu kwenda kumlaki mwajiri wao number 1? Hii ni culture yetu tangu nyerere so sioni ajabu SSH kufanya hivyo
 
Kwa maelezo yake inaonekana huyu ni Mkuu wa Shule....hata haoni aibu na hatambui kwamba Mhe. Rais ndio mwajiri Mkuu.
Mwajiri mkuu hadi wa sekta binafsi? Uchawa umewafanya kuwa wajinga sana.
 
Sio kulazimishwa lazima waende. Huyo si ndio bosi wao mkubwa. Kuna ajabu gani hapo!!??
kwan kaenda kwa shughuli ipi hasa mpk avuruge utendaji mzima wa manispaa ? hajui anapoteza tsh ngap kwa siku hiyo kaipoteza
 
Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa kuchukua rokoo ya waalimu walio hudhuria kisha watakao kaidi majina yao yatawasilishwa kwa mkurugenzi wa manispaa.

Hii ni barua tuliyopewa (wakuu wa shule) kisha tumepigiwa simu kuhesabu watumishi walio chini yetu na kuwasilisha majina ya watakao kaidi.

Mimi ntawashughulikia watakao kaidi kulinda kibarua changu. Nakupenda sana mama yangu Samia (kwa sauti ya kinafiki)

View attachment 3062618
Hii safi sana, inatakiwa watumishi wote wawepo, yakitokea malalamiko zikichukuliwa hatua wasiseme wanaonewa.
 
Hata hivyo,CCM ndo inatuweka mjini....mdomo mtupu haulambwi
ujinga ndo mtaji wa ccmu , unahisi wewe ni mtumishi wa ccmu ? unalipwa kodi za wananchi na sio kodi za ccmu mbuz wew
 
Kuna ubaya gani..huyo ndio mwajiri Mkuu..kuna vitu vya kuvisema lakini sio hili
kwan mwajili anamtumikia nan ? kawekwa na nani ? ukitulia ndo utajielewa kuwa huyo ni mtumishi kama wewe , wote mnatutumikia wananchi , unaanzaj sitisha huduma za kijamii kisa mkamsikilize yeye , sasa waziri , afisa elimu , mratimu wa elimu wote hao wana kazi gan ?
 
Back
Top Bottom