Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Nakushauri uende ukasome Elimu ya watu wazima japo upate Diploma. La sivyo utanyanyasika sana na dunia ya sasaStd 7.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushauri uende ukasome Elimu ya watu wazima japo upate Diploma. La sivyo utanyanyasika sana na dunia ya sasaStd 7.
Nakushauri uende ukasome Elimu ya watu wazima japo upate Diploma. La sivyo utanyanyasika sana na dunia ya sasa
Serikali hainaga hela, hela zote ni za wananchi hivyo anayelipa mishahara ya watumishi wa serikali ni mwananchi.Lazima wahudhurie maana Ndiye muajiri wao na ndie mlipaji wao wa Mishahara na ndiye amewafanya wawe na tabasamu,furaha na matumaini makubwa sana kutokana na kazi kubwa sana aliyoifanya ya kuboresha maslahi yao ikiwepo kupandisha mishahara yao kwa 23% hasa kwa wale wa kima cha chini,kulipaa malimbikizo yote ya madeni,kurejesha nyongeza ya kila mwaka ,kuboreshwa kwa mazingira ya kazi n.k. kwa hiyo wanakwenda kumsikiliza na kupokea maelekezo mbele ya wananchi ili wananchi wajuwe nini kimeagizwa na Rais wao kwa watumishi wao . Kusudi wananchi wakienda kupata huduma na wakatendewa tofauti na maelekezo ya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa waweze kutoa taarifa ili hatua ziweze kuchukuliwa
kwenda kwa rais ni sehemu ya kazi yao?Leo ni cku ya kazi,na rais ndo mtumishi wa umma no 1,ulitaka waende wapi kama sio kwa boss wao.
🤣🤣🤣 Kukubalika Kwa kutokubalika 🤣🤣
Hahaha .........Kwa taarifa za Chini Chini hizo Ziara za Mama zitafanyika Nchi nzima Kwa kutembelea Halmashauri zote 185 katika kujijenga na kujiandaa na Uchaguzi MwakaniGrahams njoo ona CCM Huku inatia kinyaa
Kwahiyo asahv Rais ndo analipa mishahara??Lazima wahudhurie maana Ndiye muajiri wao na ndie mlipaji wao wa Mishahara na ndiye amewafanya wawe na tabasamu,furaha na matumaini makubwa sana kutokana na kazi kubwa sana aliyoifanya ya kuboresha maslahi yao ikiwepo kupandisha mishahara yao kwa 23% hasa kwa wale wa kima cha chini,kulipaa malimbikizo yote ya madeni,kurejesha nyongeza ya kila mwaka ,kuboreshwa kwa mazingira ya kazi n.k. kwa hiyo wanakwenda kumsikiliza na kupokea maelekezo mbele ya wananchi ili wananchi wajuwe nini kimeagizwa na Rais wao kwa watumishi wao . Kusudi wananchi wakienda kupata huduma na wakatendewa tofauti na maelekezo ya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa waweze kutoa taarifa ili hatua ziweze kuchukuliwa
Pole sana Ndugu yanguMkuu ndio mambo ya CCM, full kupelekesha Tu kama makondoo, watu manacheka Lakin moyoni wanalia
Mgombea mwenza huwepo kwenye ballots wakati wa uchaguzi. Pili: Mtu anayeshika madaraka ya Urais kwa mujibu wa Katiba anakuwa na nguvu kutoka kwa umma kama aliyechaguliwa wakati wa General Elections.Kwa lazima? Halafu huyo Samia ni nani aliye mchagua?
We utakuwa ni mzaliwa wa hivi karibuni. Enzi za Nyerere na Mwinyi hadi maduka yalikuwa yanafungwa. Sasa wewe umeajiriwa na yeye, hutaki kwenda kumsikiliza, badala yake unaleta baruq yako humu kana kwamba ni jambo jiiipyaa! Acha umburula, hutaki kazi Acha p.u.m.b.a.v.u mkubwa we!Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa kuchukua rokoo ya waalimu walio hudhuria kisha watakao kaidi majina yao yatawasilishwa kwa mkurugenzi wa manispaa.
Hii ni barua tuliyopewa (wakuu wa shule) kisha tumepigiwa simu kuhesabu watumishi walio chini yetu na kuwasilisha majina ya watakao kaidi.
Mimi ntawashughulikia watakao kaidi kulinda kibarua changu. Nakupenda sana mama yangu Samia (kwa sauti ya kinafiki)
View attachment 3062618
Mimba za kutosha kwa wanafunzi siku ya janaHii ni habari njema kwa wanafunzi wa shule za kata na walimu wao, wanakwenda outing leo.
ndo nchi imefika huku ?Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa kuchukua rokoo ya waalimu walio hudhuria kisha watakao kaidi majina yao yatawasilishwa kwa mkurugenzi wa manispaa.
Hii ni barua tuliyopewa (wakuu wa shule) kisha tumepigiwa simu kuhesabu watumishi walio chini yetu na kuwasilisha majina ya watakao kaidi.
Mimi ntawashughulikia watakao kaidi kulinda kibarua changu. Nakupenda sana mama yangu Samia (kwa sauti ya kinafiki)
View attachment 3062618
Signature ya kinoko sana, ila niulize, kuna shida gani watu kwenda kumlaki mwajiri wao number 1? Hii ni culture yetu tangu nyerere so sioni ajabu SSH kufanya hivyoWatumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa kuchukua rokoo ya waalimu walio hudhuria kisha watakao kaidi majina yao yatawasilishwa kwa mkurugenzi wa manispaa.
Hii ni barua tuliyopewa (wakuu wa shule) kisha tumepigiwa simu kuhesabu watumishi walio chini yetu na kuwasilisha majina ya watakao kaidi.
Mimi ntawashughulikia watakao kaidi kulinda kibarua changu. Nakupenda sana mama yangu Samia (kwa sauti ya kinafiki)
View attachment 3062618
Mwajiri mkuu hadi wa sekta binafsi? Uchawa umewafanya kuwa wajinga sana.Kwa maelezo yake inaonekana huyu ni Mkuu wa Shule....hata haoni aibu na hatambui kwamba Mhe. Rais ndio mwajiri Mkuu.
kwan kaenda kwa shughuli ipi hasa mpk avuruge utendaji mzima wa manispaa ? hajui anapoteza tsh ngap kwa siku hiyo kaipotezaSio kulazimishwa lazima waende. Huyo si ndio bosi wao mkubwa. Kuna ajabu gani hapo!!??
Hii safi sana, inatakiwa watumishi wote wawepo, yakitokea malalamiko zikichukuliwa hatua wasiseme wanaonewa.Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa kuchukua rokoo ya waalimu walio hudhuria kisha watakao kaidi majina yao yatawasilishwa kwa mkurugenzi wa manispaa.
Hii ni barua tuliyopewa (wakuu wa shule) kisha tumepigiwa simu kuhesabu watumishi walio chini yetu na kuwasilisha majina ya watakao kaidi.
Mimi ntawashughulikia watakao kaidi kulinda kibarua changu. Nakupenda sana mama yangu Samia (kwa sauti ya kinafiki)
View attachment 3062618
ujinga ndo mtaji wa ccmu , unahisi wewe ni mtumishi wa ccmu ? unalipwa kodi za wananchi na sio kodi za ccmu mbuz wewHata hivyo,CCM ndo inatuweka mjini....mdomo mtupu haulambwi
kwan mwajili anamtumikia nan ? kawekwa na nani ? ukitulia ndo utajielewa kuwa huyo ni mtumishi kama wewe , wote mnatutumikia wananchi , unaanzaj sitisha huduma za kijamii kisa mkamsikilize yeye , sasa waziri , afisa elimu , mratimu wa elimu wote hao wana kazi gan ?Kuna ubaya gani..huyo ndio mwajiri Mkuu..kuna vitu vya kuvisema lakini sio hili