Morogoro: Watumishi wa Umma Walazimishwa kwenda kwenye mkutano wa Rais Samia leo hii

Aisee bora nikose kazi kuliko kufanyishwa vitu ambavyo vipo nje ya mkataba wa kazi.
 
Mishahara ikichelewa kidogo mnapiga kelele na kulalamika....ohh Mama..leo kwenda kumsikiliza mnalalamika mnalazimishwa...
kwan ni sahihi kumcheleweshea mtumishu malipo yake ? hv akili zimo mkuu?
 
uadilifu wa kusaini mkataba bila kujali kipengele cha muda ? hz njaa mtasifia hadi walevi
 
Mwanzisha mada is stupid hajui hata Government inavyoendeshwa.

President is a Head of State
President is a Leader of Executive

CEO amekuja kwenye Department yenu msiendeke kwenye kikao?

Gen Z always stupid
alienda department gan pale uwanjani ? akili za ccmu zinatia mashaka
 
I told you nyie ni idiots barua imetoa maelekezo akina nani wanatakiwa waende kwenye mkutano.

View attachment 3062988

Low education na kukurupuka kunawasumbua sana 🤣 🤣 🤣
maccmu huwa magumu kusoma ndio maana mlisaini mkataba wa bandari kichwa kichwa , kwenye hitimisho la hiyo barua wamesema waende na walio chini yao kiutendaju yaan mwalimu mkuu na walimu wake
 
mkataba unaruhusu ? jitambueni asee
 
kwa uchumi gan mliokuwa nao kufunga ofisi za umma ? baadae mnalalamika ukoloni kuwafanya muwe maskini
 
maccmu huwa magumu kusoma ndio maana mlisaini mkataba wa bandari kichwa kichwa , kwenye hitimisho la hiyo barua wamesema waende na walio chini yao kiutendaju yaan mwalimu mkuu na walimu wake
Weka screenshot inayoonesha imeandikwa waende waliochini yao. Nyie CHADEMA mnaongozwa na DJ mbowe mtakuwa na akili kweli?
 
uadilifu wa kusaini mkataba bila kujali kipengele cha muda ? hz njaa mtasifia hadi walevi
mikataba wanasaini binadamu sio malaika, kama kuna dosari au kasoro mahali, then ni mapungufu ya kibinadamu tu,

Muhimu zaidi ni kuepuka mihemko isiyo na tija, unajaribu haiba na siha yako Njema miongni mwa jamii inayokuheshimu 🐒
 
Wengine hawajui protocol za uongozi.
kwamba protocol ya uwongozi inakutaka uache kuzalisha mali/kutoa huduma kwa wahitaji (wanafunzi) ukamsikiloze raisi anazindua kiwanda

hizi protocal hatari sana.
 
Wanafunzi wa shule za msingi, primary ni waajira ?
Kwan nini walazimishe wanafunzi kuacha Masomo kisa siasa
Kuna haja gani ya wanafunzi kuendelea kubaki shuleni kama walimu wote hawapo shuleni, kwanini wasiende nyumbani kuwasaidia wazazi wao kazi huku wengine wakienda kurefresh akili kwa namna zao?
 
Kuna haja gani ya wanafunzi kuendelea kubaki shuleni kama walimu wote hawapo shuleni, kwanini wasiende nyumbani kuwasaidia wazazi wao kazi huku wengine wakienda kurefresh akili kwa namna zao?
Mwenyekiti taifa anataka kujaza nyomi Tu
 
Duh! Kwa signature hiyo, inaonesha Mkuu ni munoma. Hapo lazima mtu ashughulikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…