Morogoro: Wawili mbaroni kwa Uhalifu wa Kutumia vilevi kwa Wanawake

Dada zetu wamezidi tamaa sana

Hotel za kifahari na msosi wa nguvu

Vi 8

Hapo tayari washalowa

Safi sana shayo
 
Ningeshangaa mchaga asiwepo tena kwenye dili kama hili.
 
Mm binafs niliwai kula mtu kitapeli san nilijiita afsa tawala wilay ya mkalama yule dad alinikuta mitaha ya ofisi ya mkuu wa willaya ya manyoni Kisha siku zingine tukakutana mkalama mm nikamfananisha na nayey akasema ameniona sijui manyoni bas bila kunioji Sana akaniuliza huko ulikuwa na mishe gani nikamwambia huko nilikuwa na Kaz za kiserkali imenileta huko manyoni ..yeye akanimbia yey Ni mfanyabiashara anakwenda kuonana na mkurugenzi Kisha ataenda mjini nikamwabia bas anipe lift Kwan gar yetu ya ofcn imearibiaka bila Shaka akasema hkn shida nimsubiri kidg amuone mkurugenzi dakik chake huyu Happ chap nikapanda mbele hao Hadi mjini sikufika hata mbali yule mtaturu alikuwa mwepes Sana naanza kumshika paja akatuliaa akasema nitulie bass nikamuomba kuwa tupitie hata sehemu tupate vinywaji aksema sehemu gani nikamwambia twende had town mnk saa tisa ninarud ofc Nina kikao na mkuu wa willaya ..nilimleta had tanesco huko substation njia ya dar. Singda Kuna lodg nyingi Sana kwani alinimbai anafahamika San hvyo tuzogee nje ya mjini ndiko nikampeleka huko njia ya dar .tukafanikiwa kupata lodg na iko sehemu nzuri bas aksema hajala chochote acha aagize supu ya kuku ikaletwa nusu mbili julmla elf 16 na vinywaji jumla Kama 25 HV nikamuambia alipie tukitoka hpa tuende bank nitoe pesa nitampatia bila hiyana mwanamke alivuta 30 kapeana jikoni na mm kuingiliwa 20 tu ya lodge nimemchakata had saa kumi kwani Kuna saa nilimpanga mwnangu mmoja ambaye nilimtext msg kuwa nakupigia simu nikuombe uniwakilishe kweny kikao Cha mkuu wa willya kwani nimepata dharura jamaa alinielewa faster so tukaendelea na mechi kwani mwanamke alishajihakikishi kuwa mm Ni mtumishi wa wilaya hyo hvyo Hana wasiwasi alisema alikuwenda kufatilia hati zake za mashamba yaliko kule. Mm ndio kwanza naenda kutafuta alizeti za kulanguwa Mwanmke yule anapenda kula kula Sana akaagiza Tena chakula safarii ilikuja kuku makange tukapiga kuku mzima huku akijuwa kuwa nitaenda kumrudishiaa hell ilifika saa moja tukaoga na kusepa kueleke ilipo ATM au bank ya nmb tukaenda had pale nikamwambi atafute parking ili nishuke nikatoe pesa kumbuka Hapo hata han namba zangu na mm Zina zake nilipo shuka tu nikajifanya naelekea usawa wa getiin nmb pale chapu nikakamata ile njia ya kwenda geraji za Hapo nyuma ya nmb huyo. Nikatokomea kusiko julikanaa ...

Nb
Siku moja nitaeleza alivyo nibamba ktk mgahwa wa mam claree hapo Hapo singida muda ule alikuwa na bwana ake ..nitaeleze jinsi tulivyokutana siku nyingine na namna gani nimemaliza mzala na yey .nikaomba msamaha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Safi sana Shujaa wetu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Uhalifu mwingine Bwana, uwalawiti, uwaibie, uache na deni, hao watu ni wa kuua tu mara moja
Hakuna sehemu habari imeongelea kulawiti, wameongelea kubaka. Unajua maana ya kulawiti?!
 
Hao jamaa nawafahanu Sana..nasubiri kuona picha zao tu..walishataka kunishirikisha kwenye tukio MOJA hivi Moshi,ila kwa huruma yangu nilimwokoa yule dada..walini mind Sana wakunitukana nitakufa masikini
 
Mm binafs niliwai kula mtu kitapeli san nilijiita afsa tawala wilay ya mkalama yule dad alinikuta mitaha ya ofisi ya mkuu wa willaya ya manyoni Kisha siku zingine tukakutana mkalama mm nikamfananisha na nayey akasema ameniona sijui manyoni bas bila kunioji Sana akaniuliza huko ulikuwa na mishe gani nikamwambia huko nilikuwa na Kaz za kiserkali imenileta huko manyoni ..yeye akanimbia yey Ni mfanyabiashara anakwenda kuonana na mkurugenzi Kisha ataenda mjini nikamwabia bas anipe lift Kwan gar yetu ya ofcn imearibiaka bila Shaka akasema hkn shida nimsubiri kidg amuone mkurugenzi dakik chake huyu Happ chap nikapanda mbele hao Hadi mjini sikufika hata mbali yule mtaturu alikuwa mwepes Sana naanza kumshika paja akatuliaa akasema nitulie bass nikamuomba kuwa tupitie hata sehemu tupate vinywaji aksema sehemu gani nikamwambia twende had town mnk saa tisa ninarud ofc Nina kikao na mkuu wa willaya ..nilimleta had tanesco huko substation njia ya dar. Singda Kuna lodg nyingi Sana kwani alinimbai anafahamika San hvyo tuzogee nje ya mjini ndiko nikampeleka huko njia ya dar .tukafanikiwa kupata lodg na iko sehemu nzuri bas aksema hajala chochote acha aagize supu ya kuku ikaletwa nusu mbili julmla elf 16 na vinywaji jumla Kama 25 HV nikamuambia alipie tukitoka hpa tuende bank nitoe pesa nitampatia bila hiyana mwanamke alivuta 30 kapeana jikoni na mm kuingiliwa 20 tu ya lodge nimemchakata had saa kumi kwani Kuna saa nilimpanga mwnangu mmoja ambaye nilimtext msg kuwa nakupigia simu nikuombe uniwakilishe kweny kikao Cha mkuu wa willya kwani nimepata dharura jamaa alinielewa faster so tukaendelea na mechi kwani mwanamke alishajihakikishi kuwa mm Ni mtumishi wa wilaya hyo hvyo Hana wasiwasi alisema alikuwenda kufatilia hati zake za mashamba yaliko kule. Mm ndio kwanza naenda kutafuta alizeti za kulanguwa Mwanmke yule anapenda kula kula Sana akaagiza Tena chakula safarii ilikuja kuku makange tukapiga kuku mzima huku akijuwa kuwa nitaenda kumrudishiaa hell ilifika saa moja tukaoga na kusepa kueleke ilipo ATM au bank ya nmb tukaenda had pale nikamwambi atafute parking ili nishuke nikatoe pesa kumbuka Hapo hata han namba zangu na mm Zina zake nilipo shuka tu nikajifanya naelekea usawa wa getiin nmb pale chapu nikakamata ile njia ya kwenda geraji za Hapo nyuma ya nmb huyo. Nikatokomea kusiko julikanaa ...

Nb
Siku moja nitaeleza alivyo nibamba ktk mgahwa wa mam claree hapo Hapo singida muda ule alikuwa na bwana ake ..nitaeleze jinsi tulivyokutana siku nyingine na namna gani nimemaliza mzala na yey .nikaomba msamaha
Nchi hii bwana,,
 
Hii combination haipo sawa.. Labda Rado ya Kariakoo.
Ukianza maisha ukatoka kwenu na kuelewa hautajuwa na comment za hivi. Na kama ushatoka kwenu basi bado unahitaji exposure kuyaelewa maisha na watu mbalimbali
 
Malizia mkasa
 
Yaani mabinti wamewekwa hotel siku tatu na mtu ambaye hata hawamjui?! Wanakula na kupiga picha kule swimming pool dah. Wakati huo wanaume zao sijui wameambiwaje
... alijitambulisha lakini - afisa wa ngazi ya juu - Ofisi ya Rais (TAMISEMI). "Ofisi ya Rais" ni ofisi ambayo haipaswi kutiliwa shaka chembe.
 
Good, namaanisha humjui other details, kuwa Fulani doesn't justify kwa kweli. Ni tamaa tu
 
Back
Top Bottom