Morogoro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA yanayoongozwa na Tundu Lissu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi.

Screenshot_2024-04-30-13-57-52-1.png

Mapema asubuhi wananchi walipoanza kukusanyika.

Screenshot_2024-04-30-11-11-28-1.png

Usiondoke JF kwa vile kuna mengi ambayo utaletewa kuhusu maandamano hayo
==========

Screenshot_2024-04-30-18-07-59-1.png
 
Chadema bwana eti ugumu wa maisha wakati wanatembeza watu wasifanye kazi wao wamejaziana mafuta na tiketi za ndege ndezi zinamaliza ndala na soli!
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi.

Mapema asubuhi wananchi walipoanza kukusanyika.

Usiondoke JF kwa vile kuna mengi ambayo utaletewa kuhusu maandamano hayo
==========
Jana jamaa kaharibu hali ya hewa
 
Chadema bwana eti ugumu wa maisha wakati wanatembeza watu wasifanye kazi wao wamejaziana mafuta na tiketi za ndege ndezi zinamaliza ndala na soli!
Kwani kijijini kwenu walikupa tafsiri ya maisha magumu kuwa hautakiwi kuandamana,kutumia vyombo vya usafiri na hata kula chakula?CCM ni maiti mnaopuyanga barabarani.
 
Kwa hiyo nawe ni maiti mwenzao upo mochwari kama si makaburini unajadili nao!
 
Swali la uelewa, hivi kama chama mmeshawahi kaa chini na kufanya tathimini ya tija ya hayo maandamano au mnajifurahisha tu?
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi.

Mapema asubuhi wananchi walipoanza kukusanyika.

Usiondoke JF kwa vile kuna mengi ambayo utaletewa kuhusu maandamano hayo
==========
Una-edit picha maana sioni mubashara!
 
Back
Top Bottom