Morogoro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA yanayoongozwa na Tundu Lissu

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi.

View attachment 2977476

Mapema asubuhi wananchi walipoanza kukusanyika.

Usiondoke JF kwa vile kuna mengi ambayo utaletewa kuhusu maandamano hayo
==========
Nipo hapa Moro mjini,lissu haonekani maandamano yameahirishwa
 
Kwa hiyo nawe ni maiti mwenzao upo mochwari kama si makaburini unajadili nao!
serikali ichukue hatua za haraka kupunguza makali ya hali ngumu ya uchumi na mfumuko wa bei. watanzania wana imani na wanaipenda serikali yao. serikali nayo inapaswa kuonyesha kwamba inawajali. hivyo hoja za watanzania wanaoshiriki maandamano ya chadema zifanyiwe kazi na serikali.
 
Haya majitu wanaongeza kama wanagombana na kama wamekaririshwa mashairi
 
serikali ichukue hatua za haraka kupunguza makali ya hali ngumu ya uchumi na mfumuko wa bei. watanzania wana imani na wanaipenda serikali yao. serikali nayo inapaswa kuonyesha kwamba inawajali. hivyo hoja za watanzania wanaoshiriki maandamano ya chadema zifanyiwe kazi na serikali.
Kuna watanzania au kikundi cha watu wachache watafuna ruzuku watanzania wenye kujielewa wote wapo kwenye mihangaiko yao wanajua serikali hamtulii mtu pesa mfukoni!
 
Unateseka ukiwa wapi?

Umewahi kujiuliza Kwa miaka 60 CCM kwanini watu Wana kaa chini shuleni wakati watoto wa viogozi wanasoma shule nzuri?Umewahi kwenda Hospitali za serikali?

Umewahi kujiuliza kwanini wewe mwenyewe umeamua kuwa CHAWA na Malaya wa kisiasa ili uishi lakini wapo wanaopata mshahara mzuri pale LUMUMBA
 
Ulikwenda shule kusomea haya uliyoandika!
 
Screenshot_2024-04-30-18-07-59-1.png
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi.

View attachment 2977476

Mapema asubuhi wananchi walipoanza kukusanyika.

Usiondoke JF kwa vile kuna mengi ambayo utaletewa kuhusu maandamano hayo
==========

View attachment 2977625
Polisi nao wanaandamana kinamna. Safi sana. 😀😀
 
Umeelewa ndio maana umekazia!
Hata kiswahili hujui utajua kujenga na kujibu hoja wewe. Unafikiri maandamano ya kudai hali bora ya maisha yanafanyika Tanzania tu na yanaongozwa na chadema tu? Watu wa SA wangekuwa na akili kama zako au hata kina bb titi leo tungekuwa wap?
Haya ni matokeo ya kudesa mitihani mkitegemea kazi za kuosha magar hapo lumumba
 
Unahisi umeandika point za maana kumbe utopolo mtupu,tufungue uzi mimi na wewe tujue nani anajua kiswahili vyema!
 
Sasa nikae nabishana na mtu ambaye anaamini kwamba mtu kudai haki yake ni kumaliza ndala kweli? Yaani hujui hata kwamba kuandamana ni haki ya kikatiba? Hujui kwamba hakuna ajira? Umeme wa shida maji ni tabu? Juzi watu wamepata majanga kwa mafuriko na hayakutangazwa? Mm nifungue uzi wa kubishana na wewe kweli mkuu?
 
Back
Top Bottom