Morogoro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA yanayoongozwa na Tundu Lissu

Morogoro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA yanayoongozwa na Tundu Lissu

Sasa nikae nabishana na mtu ambaye anaamini kwamba mtu kudai haki yake ni kumaliza ndala kweli? Yaani hujui hata kwamba kuandamana ni haki ya kikatiba? Hujui kwamba hakuna ajira? Umeme wa shida maji ni tabu? Juzi watu wamepata majanga kwa mafuriko na hayakutangazwa? Mm nifungue uzi wa kubishana na wewe kweli mkuu?
yaani hapa ndio umeona umeandika hizo kamasi zote zilizo kichwani umemaliza siwezi kubishana na mtu anekariri!
 
yaani hapa ndio umeona umeandika hizo kamasi zote zilizo kichwani umemaliza siwezi kubishana na mtu anekariri!
Siku ukipata akili ya kutafuta hela mwenyewe ukaacha UMALAYA WA KISIASA ndiyo siku utagundua kuwa TANZANIA tunaihitaji kuungana kuitengeneza .Kwasasa huwezi kuonana Kwa kuwa akili yako imefungwa .Umeamua kuweka vyeti kabatini ilikuendeleza unafiki na UCHAWA uishi .
 
Kuna watanzania au kikundi cha watu wachache watafuna ruzuku watanzania wenye kujielewa wote wapo kwenye mihangaiko yao wanajua serikali hamtulii mtu pesa mfukoni!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu watu wanaojielewa ndiyo watu kama wewe??
 
Siku ukipata akili ya kutafuta hela mwenyewe ukaacha UMALAYA WA KISIASA ndiyo siku utagundua kuwa TANZANIA tunaihitaji kuungana kuitengeneza .Kwasasa huwezi kuonana Kwa kuwa akili yako imefungwa .Umeamua kuweka vyeti kabatini ilikuendeleza unafiki na UCHAWA uishi .
Haya nenda sasa katafute makande makavu ushushie na maji ulale naona unaleta gozi gozi tu!
 
Back
Top Bottom