Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Karibu sanaChadema bwana eti ugumu wa maisha wakati wanatembeza watu wasifanye kazi wao wamejaziana mafuta na tiketi za ndege ndezi zinamaliza ndala na soli!
Jana jamaa kaharibu hali ya hewaKuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi.
Mapema asubuhi wananchi walipoanza kukusanyika.
Usiondoke JF kwa vile kuna mengi ambayo utaletewa kuhusu maandamano hayo
==========
Kwani kijijini kwenu walikupa tafsiri ya maisha magumu kuwa hautakiwi kuandamana,kutumia vyombo vya usafiri na hata kula chakula?CCM ni maiti mnaopuyanga barabarani.Chadema bwana eti ugumu wa maisha wakati wanatembeza watu wasifanye kazi wao wamejaziana mafuta na tiketi za ndege ndezi zinamaliza ndala na soli!
Walizubaa mnoo na kuwa kama mazuzu!Ngoja awachangamshe na kuwasisimua.Jana jamaa kaharibu hali ya hewa
Kwa hiyo nawe ni maiti mwenzao upo mochwari kama si makaburini unajadili nao!Kwani kijijini kwenu walikupa tafsiri ya maisha magumu kuwa hautakiwi kuandamana,kutumia vyombo vya usafiri na hata kula chakula?CCM ni maiti mnaopuyanga barabarani.
Naleo ni mwendo wa kuvurumusha Makombora mpaka panya waendelee kutoka huko waliko ziba masikioJana jamaa kaharibu hali ya hewa
Najadili na mizuka yao ukiwemo wewe.Kwa hiyo nawe ni maiti mwenzao upo mochwari kama si makaburini unajadili nao!
Haya sema mzuka mwenzangu!Najadili na mizuka yao ukiwemo wewe.
Huoni panya wameanza kubweka huko....Swali la uelewa, hivi kama chama mmeshawahi kaa chini na kufanya tathimini ya tija ya hayo maandamano au mnajifurahisha tu?
Mzuka sana.Umeshakula pumba?Haya sema mzuka mwenzangu!
Nenda kanywe uji na mafenesi huna hoja tutaonana jioni!Mzuka sana.Umeshakula pumba?
Hatuwezi kuonana.Wewe mzuka utarudi makaburini kunywa juisi ya bamia.Nenda kanywe uji na mafenesi huna hoja tutaonana jioni!
Una-edit picha maana sioni mubashara!Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi.
Mapema asubuhi wananchi walipoanza kukusanyika.
Usiondoke JF kwa vile kuna mengi ambayo utaletewa kuhusu maandamano hayo
==========
Usiondoke JFUna-edit picha maana sioni mubashara!
Nisiondoke wakati unatumia kitochi utaposti na nini!Usiondoke JF