Morogoro: Zaidi ya Wanachama 113 wa CHAUMMA watimkia CUF. CHAUMMA imekwisha 🤣

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
819
Reaction score
1,093
Zaidi ya Wanachama 113 wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Morogoro wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF), wakieleza kutoridhishwa na namna viongozi wa chama hicho ngazi ya Taifa wanavyoendesha shughuli zake.

Wanachama hao, ambao wameongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Vijana wa CHAUMMA Mkoa wa Morogoro, Emanuel Mpesa, wameeleza kuwa wameamua kuchukua hatua hiyo baada ya kupoteza imani na baadhi ya maamuzi yanayofanywa ndani ya chama hicho.

Akizungumza wakati wa kuwapokea wanachama hao, Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya Jumuiya ya Vijana CUF Taifa, Ibrahim Bakonzi, amesema kujiunga kwao na CUF ni hatua itakayoongeza nguvu ya chama hicho, hususan Mkoa wa Morogoro.

Kwa upande wao, Emanuel Mpesa pamoja na Nabi Prosper, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya udiwani katika Uchaguzi wa mwaka 2025 kupitia CHAUMMA katika Kata ya Mwembesongo, wamesema sababu kubwa ya kuondoka katika chama hicho ni mwenendo wa maamuzi yanayotolewa na viongozi wa juu.

Aidha, Makamu Mwenyekiti wa CUF upande wa Zanzibar, Haroub Mohammed Shamis, amesema chama hicho kipo tayari kushiriki mazungumzo na vyama vingine vya siasa kwa ajili ya maridhiano, akisisitiza umuhimu wa kudumisha amani, umoja na mshikamano wa Watanzania.
 
View attachment 3664592

ok.šŸ’
 
Hawa nao walihama ni wajinga kwamba unaluka mkojo unakanyaga kinyesi ,ni ujinga uliotukuka

W
 
Hao ni CCM wanazuga tu uchaguzi ukifika wanajibadilisha tena
 
chadema kitakuwa chama cha ajabu kupokea wahamiaji kama hawa.
Ndo safari yao inakoelekea sema hawawezi kwenda direct wanajua dhambi zao! Hadi mwakani ndio wataenda tena kwa mafungu sio kwa pamoja vile, wakifika huko wanaanza kumkataa heche!
 
Chadema ya sasa ni moto mno , moja wamejipambanua vuzuri kwa watz, that's tonetone anzia sh mia na kuendelea , wananchi wanachanga kama Mbwai mbwai , kukusanya mil 20 kwa tonetone za mia ,miambili ,miatano,buku n.k sio kazi nyepesi kama wananchi hawako upande wako.

Chama kimekua cha kitaifa ichi , hata walio kwenye vyama vingine wanachanga , hata hawa mapolice baadhi wanachanga .

Mtu kauliwa ndugu yake ,katekwa ndugu yake ,why asichange ?

Mie nilipoteza vijana wangu , watoto wangu 2 why nisiwachangie .Acha nifilizike ila nitawachangia tu.
 
Zaidi ya Wanachama 113 wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Morogoro wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF), wakieleza kutoridhishwa na namna viongozi wa chama hicho ngazi ya Taifa wanavyoendesha shughuli zake.
View attachment 3664592
Wanachama hao, ambao wameongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Vijana wa CHAUMMA Mkoa wa Morogoro, Emanuel Mpesa, wameeleza kuwa wameamua kuchukua hatua hiyo baada ya kupoteza imani na baadhi ya maamuzi yanayofanywa ndani ya chama hicho.

Akizungumza wakati wa kuwapokea wanachama hao, Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya Jumuiya ya Vijana CUF Taifa, Ibrahim Bakonzi, amesema kujiunga kwao na CUF ni hatua itakayoongeza nguvu ya chama hicho, hususan Mkoa wa Morogoro.

Kwa upande wao, Emanuel Mpesa pamoja na Nabi Prosper, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya udiwani katika Uchaguzi wa mwaka 2025 kupitia CHAUMMA katika Kata ya Mwembesongo, wamesema sababu kubwa ya kuondoka katika chama hicho ni mwenendo wa maamuzi yanayotolewa na viongozi wa juu.

Aidha, Makamu Mwenyekiti wa CUF upande wa Zanzibar, Haroub Mohammed Shamis, amesema chama hicho kipo tayari kushiriki mazungumzo na vyama vingine vya siasa kwa ajili ya maridhiano, akisisitiza umuhimu wa kudumisha amani, umoja na mshikamano wa Watanzania.
Uchawi wa Yericko Nyerere umeshindwa kukisaidia chama?
 
Back
Top Bottom