sema vijibwa vya ccm vyajitoa, siyo chama , hakuna chama paleUkombozi wa Umma (CHAUMMA
ok.🐒Zaidi ya Wanachama 113 wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Morogoro wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF), wakieleza kutoridhishwa na namna viongozi wa chama hicho ngazi ya Taifa wanavyoendesha shughuli zake.
View attachment 3664592
Wanachama hao, ambao wameongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Vijana wa CHAUMMA Mkoa wa Morogoro, Emanuel Mpesa, wameeleza kuwa wameamua kuchukua hatua hiyo baada ya kupoteza imani na baadhi ya maamuzi yanayofanywa ndani ya chama hicho.
Akizungumza wakati wa kuwapokea wanachama hao, Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya Jumuiya ya Vijana CUF Taifa, Ibrahim Bakonzi, amesema kujiunga kwao na CUF ni hatua itakayoongeza nguvu ya chama hicho, hususan Mkoa wa Morogoro.
Kwa upande wao, Emanuel Mpesa pamoja na Nabi Prosper, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya udiwani katika Uchaguzi wa mwaka 2025 kupitia CHAUMMA katika Kata ya Mwembesongo, wamesema sababu kubwa ya kuondoka katika chama hicho ni mwenendo wa maamuzi yanayotolewa na viongozi wa juu.
Aidha, Makamu Mwenyekiti wa CUF upande wa Zanzibar, Haroub Mohammed Shamis, amesema chama hicho kipo tayari kushiriki mazungumzo na vyama vingine vya siasa kwa ajili ya maridhiano, akisisitiza umuhimu wa kudumisha amani, umoja na mshikamano wa Watanzania.
Hahahaasema vijibwa vya ccm vyajitoa, siyo chama , hakuna chama pale
Atabaki anaichambua CDM kwa wivu mkubwa.Hahahaa
Sasa Kigaila atabaki na nani?
CHAUMMA ,CAFU na ACT hakuna vyama hapo.Ni kituko, CUF yenyewe ilihamia ACT Wazalendo yakabaki makapi na pumba tupu. Bora wangehamia CHADEMA wangeonekana wako vema
WZaidi ya Wanachama 113 wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Morogoro wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF), wakieleza kutoridhishwa na namna viongozi wa chama hicho ngazi ya Taifa wanavyoendesha shughuli zake.
View attachment 3664592
Wanachama hao, ambao wameongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Vijana wa CHAUMMA Mkoa wa Morogoro, Emanuel Mpesa, wameeleza kuwa wameamua kuchukua hatua hiyo baada ya kupoteza imani na baadhi ya maamuzi yanayofanywa ndani ya chama hicho.
Akizungumza wakati wa kuwapokea wanachama hao, Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya Jumuiya ya Vijana CUF Taifa, Ibrahim Bakonzi, amesema kujiunga kwao na CUF ni hatua itakayoongeza nguvu ya chama hicho, hususan Mkoa wa Morogoro.
Kwa upande wao, Emanuel Mpesa pamoja na Nabi Prosper, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya udiwani katika Uchaguzi wa mwaka 2025 kupitia CHAUMMA katika Kata ya Mwembesongo, wamesema sababu kubwa ya kuondoka katika chama hicho ni mwenendo wa maamuzi yanayotolewa na viongozi wa juu.
Aidha, Makamu Mwenyekiti wa CUF upande wa Zanzibar, Haroub Mohammed Shamis, amesema chama hicho kipo tayari kushiriki mazungumzo na vyama vingine vya siasa kwa ajili ya maridhiano, akisisitiza umuhimu wa kudumisha amani, umoja na mshikamano wa Watanzania.
Ni con-artists wanaotega ruzuku na posho za vikao vya kijingajinga.CHAUMMA ,CAFU na ACT hakuna vyama hapo.
Hao ni CCM wanazuga tu uchaguzi ukifika wanajibadilisha tenaZaidi ya Wanachama 113 wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Morogoro wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF), wakieleza kutoridhishwa na namna viongozi wa chama hicho ngazi ya Taifa wanavyoendesha shughuli zake.
View attachment 3664592
Wanachama hao, ambao wameongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Vijana wa CHAUMMA Mkoa wa Morogoro, Emanuel Mpesa, wameeleza kuwa wameamua kuchukua hatua hiyo baada ya kupoteza imani na baadhi ya maamuzi yanayofanywa ndani ya chama hicho.
Akizungumza wakati wa kuwapokea wanachama hao, Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya Jumuiya ya Vijana CUF Taifa, Ibrahim Bakonzi, amesema kujiunga kwao na CUF ni hatua itakayoongeza nguvu ya chama hicho, hususan Mkoa wa Morogoro.
Kwa upande wao, Emanuel Mpesa pamoja na Nabi Prosper, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya udiwani katika Uchaguzi wa mwaka 2025 kupitia CHAUMMA katika Kata ya Mwembesongo, wamesema sababu kubwa ya kuondoka katika chama hicho ni mwenendo wa maamuzi yanayotolewa na viongozi wa juu.
Aidha, Makamu Mwenyekiti wa CUF upande wa Zanzibar, Haroub Mohammed Shamis, amesema chama hicho kipo tayari kushiriki mazungumzo na vyama vingine vya siasa kwa ajili ya maridhiano, akisisitiza umuhimu wa kudumisha amani, umoja na mshikamano wa Watanzania.
Hatari sanaWametoroka shimo la chooni wamehamia makaburini.
Kigaila jau sana yule jamaa ndiyo maana Mwalim aliwaingiza mjiniAtabaki anaichambua CDM kwa wivu mkubwa.
chadema kitakuwa chama cha ajabu kupokea wahamiaji kama hawa.Bora wangehamia CHADEMA wangeonekana wako vema
Ndo safari yao inakoelekea sema hawawezi kwenda direct wanajua dhambi zao! Hadi mwakani ndio wataenda tena kwa mafungu sio kwa pamoja vile, wakifika huko wanaanza kumkataa heche!chadema kitakuwa chama cha ajabu kupokea wahamiaji kama hawa.
Chadema ya sasa ni moto mno , moja wamejipambanua vuzuri kwa watz, that's tonetone anzia sh mia na kuendelea , wananchi wanachanga kama Mbwai mbwai , kukusanya mil 20 kwa tonetone za mia ,miambili ,miatano,buku n.k sio kazi nyepesi kama wananchi hawako upande wako.Ndo safari yao inakoelekea sema hawawezi kwenda direct wanajua dhambi zao! Hadi mwakani ndio wataenda tena kwa mafungu sio kwa pamoja vile, wakifika huko wanaanza kumkataa heche!
Uchawi wa Yericko Nyerere umeshindwa kukisaidia chama?Zaidi ya Wanachama 113 wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Morogoro wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF), wakieleza kutoridhishwa na namna viongozi wa chama hicho ngazi ya Taifa wanavyoendesha shughuli zake.