Morogoro: Zaidi ya Wanachama 113 wa CHAUMMA watimkia CUF. CHAUMMA imekwisha 🤣

Hao ni kuthibiti kabisa wakija tu wanaanza balaa lao
 
Hao ni kuthibiti kabisa wakija tu wanaanza balaa lao
Hawawezi mfumo wa Chadema ni Mgumu , unafikili why Mwalimu alikikubali chama ichi, ichi chama kina roho saba kama paka , vinatoka vyuma vinaingia vyuma, chadema achana nayo mkuu, Baba Levo aliwahi sema ,chama kipo mawakili kila kona , muundo wa Uongozi wao ni balaa unatoboa vipi kukihujumu , utaenda tu ila utakufa wewe , mitikisiko ichi chama kimepitia sio za kitoto ila kinapangua tu.
 
Matapeli tu hao. Unahama chaumma unaenda CUF iliyojifia.
 
"Wanasiasa wana tabia za Umalaya Malaya"

JK NYERERE.


CHAUMA WANA TABIA ZA KIMALAYA MALAYA.
 

Uchawi wa Yericko Nyerere umeshindwa kukisaidia chama?

Teh teh 😃 😃 Uchawi wake umeishiwa nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…