John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison ameshutumu maamuzi yanayofanyika katika kuita wachezaji wa timu ya taifa lake la Ghana kwa madai kuwa kuna ubabaishaji mwingi na wanatana kwa kujuana.
Morrison amesikitishwa na kitendo cha kuonekana anadharaulika wakati amecheza katika klab kadhaa kubwa Arika ana kufanya vizuri huku wanaoitwa wengi ni wale ambao wanaonekana kuwa na uwezo wa kawaida kuliko yeye.
Amedai kuwa hiyo inafanyika kwa kuw ayeye hana watu wanaomuunganisha na timu yake ya taifa na kuamini kuwa kutouitwa kwake siyo suala la uwezo bali ni connection.
“Mnaita watu wengine kwa kuwa wanachea Ligi za Ulaya na nje YA Afrika, mmeifanya timu ya taifa ya Ghana kama biashara ya familia, hauwezi kuitwa lazima uwe na koneksheni.
“Hao mnaowaita wana umuhimu gani wa kipekee?? Mnadharau baadhi ya ligi nyingine za Afrika na kuwachukua wachezaji wa ligi ya ndani ambao hata timu za hazipo Champions League🤦🏽♂️
“Nilichagua jezi namba 3 iliyokuwa ikivaliwa na ASAMOAH GYAN kwa kuwa nilikuwa namkubali lakini hilo nalo halikuwahi kuthaminiwa, bora nielekeza nguvu zangu Simba.
“Nimeshazungumza na watu wa Shirikisho nimewaambia nimecheza AS Vita, Orlando Pirates, Yanga na sasa nipo katika klau kubwa Tanzania, Simba lakini sijawahi kufikiriwa.
“Mnasema ligi ya Tanzania siyo nzui kiivyo, lakini ni nyie ndiyo ambao mmeita wachezaji wawili kutoka Azam FC wakati ni timu ambayo inafungwa na Simba na inazidiwa na Simba, hiyo ni kwa kuwa wana marafiki kwenye Shirikisho,” anasema Morrison.