Morrison apigwa “Ban” ya Mechi 3

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imemfungia michezo mitatu na kumtoza faini ya Shilingi 1,000,000 mchezaji wa timu ya Yanga SC, Bernald Morrison kwa kumkanyaga kwa makusudi mchezaii wa Azam, Lusajo Mwaikenda aliyekuwa ameanguka chini wakati wa harakati za kugombea mpira.

Sasa ni rasmi ataukosa mchezo wa watani wa jadi Octoba 23, 2022.
 
tff ni mapuuzi
 
Izi fine za milion Moja, wachezaji wetu wazawa wataweza kulipa? Isije ikawa unatoa adhabu kwania ya ku mkomoa Fulani kumbe una kundi kubwa la wachezaji wazawa ikiwatokea kosa kama ilo wakashindwa kulipa adhabu.
 
Hatari tupu waliotoka Simba wanawafungia fungia tu
 
Izi fine za milion Moja, wachezaji wetu wazawa wataweza kulipa? Isije ikawa unatoa adhabu kwania ya ku mkomoa Fulani kumbe una kundi kubwa la wachezaji wazawa ikiwatokea kosa kama ilo wakashindwa kulipa adhabu.
Ambao hawawezi kulipa hawafanyagi utovu wa nidham wa kiasi iko
Fujo za ivo utazikuta kwa vichaa wa kariakoo
 
TIMU KILA SIKU INAPIGWA FAINI WACHEZAJI WANAFUNGIWA MSEMAJI ANAFUNGIWA HII NI TIMU AU GENGE LA MAMA JEI AKA KABWILI FC [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji23][emoji2089][emoji23][emoji23][emoji91][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ungelalamikia makosa ningekuelewa. Hata wehu jalalani wana kanuni,itakuwa soka?
 
Ni genge la wakora

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wamejaa "mavi kwenye chupi zao" Manara a.k.a mlete mdhungu pori
 
Izi fine za milion Moja, wachezaji wetu wazawa wataweza kulipa? Isije ikawa unatoa adhabu kwania ya ku mkomoa Fulani kumbe una kundi kubwa la wachezaji wazawa ikiwatokea kosa kama ilo wakashindwa kulipa adhabu.
TFF wanajua mbn.... mfano mchezaji wa dodoma jiji kapewa faini ya laki 5 tu kisa ushirikina....pia mfano dickson job msimu ulopita alimkanyaga mchezaji wa mbeya City alifungiwa mech 3 na faini ya laki 5 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…