Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imemfungia michezo mitatu na kumtoza faini ya Shilingi 1,000,000 mchezaji wa timu ya Yanga SC, Bernald Morrison kwa kumkanyaga kwa makusudi mchezaii wa Azam, Lusajo Mwaikenda aliyekuwa ameanguka chini wakati wa harakati za kugombea mpira.
Sasa ni rasmi ataukosa mchezo wa watani wa jadi Octoba 23, 2022.
Sasa ni rasmi ataukosa mchezo wa watani wa jadi Octoba 23, 2022.