Morrison katukosea sana, yaani sisi Wana-Yanga hatujasoma! Kweli hatuelewi anachoongea?

Morrison katukosea sana, yaani sisi Wana-Yanga hatujasoma! Kweli hatuelewi anachoongea?

Mr_Plan

Senior Member
Joined
Oct 2, 2021
Posts
140
Reaction score
194
Kwa kweli tumehuzunishwa sana na kauli ya Morrison tena mbele ya Jukwaa la Wiki ya Mwananchi.

Kutuumbua kwa kusema hatuelewi anachoogea
 
Tuvumiliane...
Tumeipenda Wenyewe Wacha Ituuwe......
 
Kujua kingereza ndo kuwa na akili?
Kuna utofauti kati ya kuelewa na kuwa na akili
Wachina wanaakili , Ila hawaelewi kingereza

Wewe sio mwana Yanga
 
Mi naona kaongea vizuri japo hakutakiwa kusema hadharani. Ni kweli yanga hawana akili kwa mujibu wa msemaji wao wa yanga, kocha luc emel na leo morison.

Inaniuma kuambiwa na wanayanga kuwa wenye afya njema ya akili ni wawili huku nikijua kuna rafiki zangu na ndugu wana utimamu wa akili kabisa.
 
Back
Top Bottom