Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 1,638
- 1,961
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Morroco ime advance kutoka group stage ya FIFAWWC inayoendelea huko Austarlia na New Zealand na kuingia kwenye group of 16, Wapewe Maua yao.
Wakati ikitangazwa hivyo, wanahabari walidai Morroco ni Nchi ya Kwanza kutoka [Arab Nation] kufanya hivyo.
Kwa kuzingatia mashindano ya C.A.F yaliyofanyika hivi karibuni Morroco
Na kwa uhalisia kuwa Morroco ipo katika bara la Afrika, ndio nimechanganyikiwa kabisaa.
Niwaulize Wana JF Morroco ni Arab Nation? Je, mashindano ya C.A.F yalifanyika Uarabuni?