Morroco has advanced to round of 16, cha kustaajabisha, imetangazwa kuwa ni timu ya kwanza ya [Arab Nation] kufanya hivyo.

Ni sawa na kusema first nation from sub Saharan Africa.
Arab sio bara wala nchi. Wangesema Asia hapo sawa.
Binafsi nimeona kama ka ubaguzi fulani hivi. Wakati wa FIFA Mens World Cup waliandika hivi kwenye Site yao na nukuu
Thirteen African nations have participated in the FIFA World Cup

Nitanukuu baadhi Walizitaja kuwa ni

Cameroon7Quarter-finals
Nigeria6Round of 16
Morocco5Round of 16

Au hapa chini

Dec 17, 2022Morocco have stunned the world in Qatar, as they have reached the third-place playoff — becoming the first African side in history to make it
this far.

Sasa leo Hii wameshinda Wanawake waseme 'From Arab Nation'
Hii imekaaje?
 
Hongera zao tena, kila upande, kiumeni pia walifanya wonders! Wapewe bara lao wenyewe nafikiri.
 
Binafsi nimeona kama ka ubaguzi fulani hivi. Wakati wa FIFA Mens World Cup waliandika hivi kwenye Site yao na nukuu
Thirteen African nations have participated in the FIFA World Cup

Nitanukuu baadhi Walizitaja kuwa ni

Cameroon7Quarter-finals
Nigeria6Round of 16
Morocco5Round of 16

Au hapa chini

Dec 17, 2022Morocco have stunned the world in Qatar, as they have reached the third-place playoff — becoming the first African side in history to make it
this far.

Sasa leo Hii wameshinda Wanawake waseme 'From Arab Nation'
Hii imekaaje?

waafrica mnashida sana kwa kweli, ingelikuwa ni TZ iliyopata hayo mafanikio na ikaandikwa kuwa first East African side to make it lingekuwa ni kosa? Ovyo kabisa mambo mengine
 
Ndio Umesema aje?
 
Mambo mengine hata kuhoji ni kujitoa akili tu. Sasa wewe unavyoona Morocco sio waarabu?
 
Kwani sio warabu, ni kama kusema wasukuma haina shida.
 
Tunasemaga kiasili ukisikia mwafrika jua ni mtu MWEUSI.Mengineyo ni nahau tu za waswahili.
 
Back
Top Bottom